Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Wabongo hawalipi hiyo control namba,mfumo mzuri ni huo wa kukata moja kwa moja ndio utapata hela kwa uhakika,kikubwa ufanyike upambuzi yakinifu kulingana na ukubwa wa eneo la uzalishaji wa taka/jengo.
Shida inakuja huduma ya kutoa taka itatolewa kwa wakati mana hii serikali kwa ufisadi imevuka kikomo.
Issue ni kufanya usafi siyo kutoa pesa Watibeli mbona mmeanza kuchuja sana
Taka zigeuzwe malighafi, tuzalishe gesi, umeme n.k. Kuzikusanya tu na kumwaga eneo moja haitamaliza taka mitaani.Ili kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.
Tsh 6,000 kwa mwezi kwa kila mita, sawa na wastani wa Tsh 200 kwa siku.
Tanesco wakishakusanya pesa hizi wazipeleke kwenye mkoa husika.
According to sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Kuna nyumba taribani milioni 12 hadi sasa.
Tukifanikiwa kukusanya fedha hizi kwa angalau nyumba milioni 10, tuna uwezo wa kukusanya Tsh bilioni 720 kwa mwaka.
Mikoa iwezeshwe kukopa mikopo ya kibiashara na kununua matipa (Howo/ Faw au Shacman), angalau tipa mbili kwa kila kata za mjini na tipa 1 kwa kata za vijijini.
Wizara ya tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya mazingira waingie MOU na Tanesco ili zoezi la ukusanyaji wa ushuru wa taka kupitia mita za luku uanze mara moja.
Tukifanya hivi tutafanikiwa kuboresha usafi wa mazingira yetu
Miaka ya nyuma niliwahi kutupa Ganda la Jojo,almanusura nilipishwe 50,000!Mwenyeji wangu ndio alinisanua,okota chapu!Kwani maafisa afya wamesema ukusanyaji ushuru wa taka umeshindikana?
Moshi ilikua safi sana. Walitumia nini wao?
Ongea lolote roho yangu uiponye πMungu nifundishe kunyamaza
Sanaa yaaniNami nimeomba kama wewe! Ila nimesikitika.
πππ nasikia Ushungu sanaOngea lolote roho yangu uiponye π
Miaka ya nyuma niliwahi kutupa Ganda la Jojo,almanusura nilipishwe 50,000!Mwenyeji wangu ndio alinisanua,okota chapu!
Ndio akanipa story,pale waliweka watu,kwahiyo ukionekana unatembea unakula kitu ambacho utahitajika kutupa mabaki au kifungashio,basi wana wanajitosa kukufuatilia mdogo mdogo!Wanaweza wakatembea na wewe Hadi km kadhaa wanakuvizia utupe tu!
Ukijichanganya ukatupa,wanakudaka wanakupeleka kwa mamlaka!Kule unalipa faini 50,000!Jamaa wanakatiwa kadhaa wanarudi mzigoni!So ilikuwa kama ajira,ukimdaka mtu unapata ujira!
Sijui kama Sasa bado ipo maana hii ilikuwa miaka ya 2006!
Pole baby girl ππππ nasikia Ushungu sana
π asante sanaPole baby girl π
Tanesco hawa wenye madeni walioliza watu Mafinga kwenye nguzo wapeleke pesa Tamisemi eti!!Ili kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.