Always watu kama ninyi hamkosekani kwenye mijadala, lakini mkipita mitaani mkaona kulivyo kusafi ndio wa kwanza kusifia.Hizi ndio think tank za Ccm, badala ya kutafuta suluhu zinawaza namna ya kumkamua mwananchi.
Mkhundu ukisha tumika sana kufiliwa huwa unaanza kuvujisha akili nadhani ndio tatizo linalo kusumbua weweIli kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.
Tsh 6,000 kwa mwezi kwa kila mita, sawa na wastani wa Tsh 200 kwa siku.
Tanesco wakishakusanya pesa hizi wazipeleke kwenye mkoa husika.
According to sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Kuna nyumba taribani milioni 12 hadi sasa.
Tukifanikiwa kukusanya fedha hizi kwa angalau nyumba milioni 10, tuna uwezo wa kukusanya Tsh bilioni 720 kwa mwaka.
Mikoa iwezeshwe kukopa mikopo ya kibiashara na kununua matipa (Howo/ Faw au Shacman), angalau tipa mbili kwa kila kata za mjini na tipa 1 kwa kata za vijijini.
Wizara ya tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya mazingira waingie MOU na Tanesco ili zoezi la ukusanyaji wa ushuru wa taka kupitia mita za luku uanze mara moja.
Tukifanya hivi tutafanikiwa kuboresha usafi wa mazingira yetu
Mkuu. Hizi sio tozo mpya. Ushuru wa taka upo huko mitaani ila ukusanyaji wake ndio umekuwa shida. Tukitumia Tanesco, ukusanyaji utarahisishwa.Hizi ndio think tank za Ccm, badala ya kutafuta suluhu zinawaza namna ya kumkamua mwananchi.
wewe kama naniIli kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.
Tsh 6,000 kwa mwezi kwa kila mita, sawa na wastani wa Tsh 200 kwa siku.
Tanesco wakishakusanya pesa hizi wazipeleke kwenye mkoa husika.
According to sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Kuna nyumba taribani milioni 12 hadi sasa.
Tukifanikiwa kukusanya fedha hizi kwa angalau nyumba milioni 10, tuna uwezo wa kukusanya Tsh bilioni 720 kwa mwaka.
Mikoa iwezeshwe kukopa mikopo ya kibiashara na kununua matipa (Howo/ Faw au Shacman), angalau tipa mbili kwa kila kata za mjini na tipa 1 kwa kata za vijijini.
Wizara ya tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya mazingira waingie MOU na Tanesco ili zoezi la ukusanyaji wa ushuru wa taka kupitia mita za luku uanze mara moja.
Tukifanya hivi tutafanikiwa kuboresha usafi wa mazingira yetu
Ukiona hivyo hakuna sehemu ya kutupa takaMajiji ni machafu sana, ikiongozwa na jiji la Mwanza. Watu wanatupa taka barabarani. Bara bara zimegeuzwa kuwa majalala. Its a shame!
Civilian CoinKwani maafisa afya wamesema ukusanyaji ushuru wa taka umeshindikana?
Moshi ilikua safi sana. Walitumia nini wao?
Mpango mzuri ila hizo 720B mbona WAHUNI wanazipiga tu? Siyo kama Serikali haina zipo ila WAHUNI wanazipiga wanaenda kujenga MAMANSIONS ya MABILIONI MBWENI JKT.Ili kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.
Tsh 6,000 kwa mwezi kwa kila mita, sawa na wastani wa Tsh 200 kwa siku.
Tanesco wakishakusanya pesa hizi wazipeleke kwenye mkoa husika.
According to sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Kuna nyumba taribani milioni 12 hadi sasa.
Tukifanikiwa kukusanya fedha hizi kwa angalau nyumba milioni 10, tuna uwezo wa kukusanya Tsh bilioni 720 kwa mwaka.
Mikoa iwezeshwe kukopa mikopo ya kibiashara na kununua matipa (Howo/ Faw au Shacman), angalau tipa mbili kwa kila kata za mjini na tipa 1 kwa kata za vijijini.
Wizara ya tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya mazingira waingie MOU na Tanesco ili zoezi la ukusanyaji wa ushuru wa taka kupitia mita za luku uanze mara moja.
Tukifanya hivi tutafanikiwa kuboresha usafi wa mazingira yetu
Shida iko wapiMkuu. Hizi sio tozo mpya. Ushuru wa taka upo huko mitaani ila ukusanyaji wake ndio umekuwa shida. Tukitumia Tanesco, ukusanyaji utarahisishwa.
Hauna akiliAlways watu kama ninyi hamkosekani kwenye mijadala, lakini mkipita mitaani mkaona kulivyo kusafi ndio wa kwanza kusifia.
Na ambao nyumba zao hazina umeme utawakata wapi?Wabongo hawalipi hiyo control namba,mfumo mzuri ni huo wa kukata moja kwa moja ndio utapata hela kwa uhakika,kikubwa ufanyike upambuzi yakinifu kulingana na ukubwa wa eneo la uzalishaji wa taka/jengo.
Shida inakuja huduma ya kutoa taka itatolewa kwa wakati mana hii serikali kwa ufisadi imevuka kikomo.
Watu wanatoa wanavyojisikia. Utaratibu huu mpya utafanya utoaji kuwa mandatory.Shida iko wapi
Wewe mwenye akili ziweke hapa tuzione.Hauna akili