Tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia TANESCO!

PUMBAVU KABISA
SASA KODI ZETU ZINAENDA WAPI?????

FAMBA NO 1
 
Ni ukweli pesa ya taka ilitakiwa ilipwe kupitia luku ..kwa kila unit kuwe na pesa ya taka..Mleta uzi alipo kosea nikusema kwa mwezi ...ILITAKIWE ASEME KWA KILA UNIT KUWE NA ASILIMIA YA PESA YA TAKA ...MAANA YAKE MATUMIZI YA UMEME YAKIWA MAKUBWA NA PESA YA TAKA INAONGEZEKA ...HIYO YA KWA MWEZI NI UPUMBAVU ..MAANA YAKE HATA MTU AKIWA HAYUPO NA HATUMII UMEME BADO ANATAKIWA KULIPA ELFU 6 KILA MWEZI.. NONSENSE
 
Mkuu, lengo sio kumuumiza mtu bali lengo ni kuboresha mfumo wa ukusanyaji taka.
Tunataka ndani ya miaka miwili nchi yetu iwe safi kama Rwanda.
Muanze kwa vitendo kwanza tuone matokeo ndipo swala la hela lifuate! Mitaa kibao michafuu na haipo kwenye makazi ya watu, anzeni huko tuone uthubutu!! Mmekomalia pesa tu, mtusaidie kuelewa na hiyo kodi ya jengo inayolipwa kupitia tanesco ina umuhimu gani kama sio upigaji tu mitaa michafuu! Si mchukue izo kodi za kila mwezi mjilipe kusafisha miji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…