Hiki kinachofanyika sasa kisije kuleta picha Tanzania now all is well, hawa wakubwa wataanza kutupiga vizuri tusipokuwa makini, vyema waachiwe kama hawana hatia.Wafungwa wote waachiwe bana!
Waachiwe ASAP!
Na waachiwe bila masharti.
Mama ni mtu mwema sana.
Sijui!Hivi inaweza kutokea mfungwa akasema ni kweli nilikuwa na hatia?
Hakuna sababu ya kuwaachia wote ndio maanaKwa nini asiwaachie wote? Nani unayetaka asiachiwe?
Naona hata mwenye hatia atasema kasingiziwaSijui!
We unaonaje?
Kwa nini hakuna sababu?Hakuna sababu ya kuwaachia wote ndio maana
Ok.Naona hata mwenye hatia atasema kasingiziwa
Washapata hukumu tayariKwa nini hakuna sababu?
Hujamuelewa, jamaa anamaanisha hapendezwi na hii hali ya kuwatoa hawa mahabusuIngependeza zaidi kama ungesema wale ambao wako ndani na uchunguzi wa kesi dhidi yao bado haujakamilika zaidi ya miezi mitatu ndio waachiwe.
Kama kuna mashtaka dhidi yao mahakamani yamefutwa basi waachiwe na mahakama, kama bado yamebaki mashtaka mengine dhidi yao yasikilizwe na mahakama tujue mwisho wake, sio kuachiwa ghafla tu.
Lakini ukisema waulizwe kila atakayejibu amebambikiwa kesi aachiwe hapo utakuwa unatania, sheria zipo lazima zifuatwe.
Hata mm nimemwelewa hivyo...sema usiumize kuchwa na TAGAs huyoHujamuelewa, jamaa anamaanisha hapendezwi na hii hali ya kuwatoa hawa mahabusu
Nimemuelewa, mahabusu lazima watolewe kama mahakama itajirishisha hakuna ushahidi wa kutosha wa mashtaka dhidi yao, lakini sio kuwaachia tu hiyo itakuwa vurugu.Hujamuelewa, jamaa anamaanisha hapendezwi na hii hali ya kuwatoa hawa mahabusu
Huku ya haki kabisa au ya kiuonevu?Washapata hukumu tayari
Mahakama ikishaamua huwez kuingiliaHuku ya haki kabisa au ya kiuonevu?
Hawa Sukuma Genge wanajisikia fedheha kwa kuachiwa watu waliokuwa na kesi za kubambikiwaKuna watu wanafikiri kwamba mama anakurupuka kuachia watu
Mafaili yote yapo ikulu na mwenyewe anayaona
Ukweli unajulikana kabisa watu wengi sana wamebambikiwa kesi
Mbona wakina Babu Seya waliachiwa na hamkupiga kelele?
Hatuwezi kujaza mahlgereza kwa kesi fake halafu hatuwezi kuachia wauaji wao waendelee kusota tu.
Hii si mara ya kwanza na msitake kuifanya hoja na kutudanganya wafungwa waliotoka jela kwa msamaha wa Rais wameanza kirudia makosa wakati wa Samia. Acheni upotoshaji nyie Push Gang. Semeni mengine lakini ukweli KWAMBA utawala wa Magufuli ulikuwa utawala dhalimu hata muufunike kwa lami utaibuka tu.Kuna mfungwa aliachiwa kwa msamaha wa Rais Samia sikukuu ya muungano, hajakaa kitaa mwezi kafanya zali tena!
Tuweke process tu ya kuhakiki kesi zilivyoendeshwa na haki itolewe.
Lakini huu msamaha unaotaka utaleta majanga.