Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,037
- 767
Mkuu nyondoloja mimi nina Strong Receiver SRT 4620II Mpeg 2, hii ilikuwa ya MyTV ina Option ya kudecode (Ina Smart Card) niliwahi kulipia MyTV baadae nikaacha. Sasa naweza kufunga kwa muundo wako hizo LNB? Na kuna namna ya kuchakachua kupata channel za malipo kwa hii njia ya Smart Card?
Mkuu inawezekana kufunga huo mfumo sema u
takosa picha ambazo zipo mpeg4
Hapo kwenye blue haiwezekani mimi natowa ujanja wa kufunga dishi si kuchakachuwa
naomba unisome hivyo kama kuna mwenye huo utundu tuombe jukwa ni pana atusaidie
Kwa sasa nimefunga LNB 3, CBand 2 na KU 1, na Dish dogo nimeliunganisha kwenye DiSec ya njia 4. Naweza kufanya utundu nikaongeza DiSec nyingine hapa?
Kwa sasa nimefunga LNB 3, CBand 2 na KU 1, na Dish dogo nimeliunganisha kwenye DiSec ya njia 4. Naweza kufanya utundu nikaongeza DiSec nyingine hapa?
Zipo Diseq za njia nane @Kimox Kimokole Shida ni kwamba ni njia moja tu inayotoka kwenye dish kuingia kwenye receiver sasa ukiwa na Diseq mbili je utaziweka vipi kwenye receiver?
Hivi Startimes ndo Analogia pekee ambayo haikuzimiwa mitambo na TCRA?
Maana hizo lugha zenu nimechungulia weeee king'amuzi changu but where!!!
Duh kweli niliingia chaka kama Mkapa na Radar ya Chenge! lol!
Kwa sasa channell nyingi kwenye 36E upande wa DSTV ni FTA ila bado najaribu kuongeza LNB ya KU kwenye upande wa Intelsat 906 ila sijafanikiwa.
vp fr za hzo channel mkuu.?
Kwa sasa channell nyingi kwenye 36E upande wa DSTV ni FTA ila bado najaribu kuongeza LNB ya KU kwenye upande wa Intelsat 906 ila sijafanikiwa.
Mkuu chanel gani nzuri zipo huko namm nitafute fundi?
Za Tanzania ni ITV,EATV,TBC1,STAR TV,CHNL 10,na ATN,. KENYA ipo K24,.ZAMBIA ipo Muvi tv Africa,. NIGERIA ipo EMMANUEL TV,. Nyingie ni SETANTA AFRICA,CNN,ALJAZEERA,EBRU AFRICA ya South Africa,LOVE WORLD PLUS,nk. Zote za mwanzo ni kwa MPEG4 RECEIVER. Good Luck.