mkuu hebu nipe mawazo, nahitaji direction ya DSTV, CANAL++ NA MYTV AFRICA nitahitaji madishi mangapi hapo?? jee naweza kupunguza idadi ya madishi??
ni ya kidishi kidogo,itakuwa ni ku band. huku uswahilini tunaita parabola. zile channels tunazochakachua kwa kile ki adapter kinachoingia lain ya simu ili kuonesha bure mechi zote.inakulazimu kuwa na madishi mawili ingawa kujaeleza hiyo canal+ ni ya sat gan. Uewelewa wangu canal+ inapatikana africa kupitia satellites Nss7 na Eutelsat 16A ambazo zote huelekea magharibi, yakwanza ni cband na ya pili ni ku-band.
mkuu hebu nipe mawazo, nahitaji direction ya DSTV, CANAL++ NA MYTV AFRICA nitahitaji madishi mangapi hapo?? jee naweza kupunguza idadi ya madishi??
hizo za dstv ni hizi supersports tunazolipia?
hivi kwa kutumia dstv dish na receiver ya media com naweza kupata channel yoyote? natanguliza shukrani
utapata cctv kama tatu hivi, zile za english na kichina, na ile dish tv inayopromote vipindi vya dstv.
asante mkuu..
pia natumia media com na dish la futi 8 , nimefunga lnb mbili moja ya local na nyingine inashika aljazeera, dunya, samaa, cctv n.k .. ningependa kupata chanel za kenya nifanyeje? pia nina lnb za cband na ku band cjazifunga
wapi naweza kupata satelite za hotbird au astra hizi ni kwa ajili ya kutumia card ya aljazeera
ahsante mkuu kwa kunifahamisha mii nipo france kwa maana hiyo kama mimi nataka kupata chanal za aljazeera kwa kutumia ile card yao ni vifaa gani inabidi niwe navyo nikiwa tanzania hebu weka item hata ikibidi kwa picha ili sote tuapate kujua zaidi natanguliza shukraniduh, mwamba umenikumbusha nilipokuwepo dunia ya kwanza. hizi hotbird na astra beam yake inaishia kule kule ulaya tu, na baadhi ya nchi za asia na africa kaskazini inadokoa kidoogo. huku kwetu hata miyale haifiki. hata ukiwa na dishi la futi 100.
kila satellite ina area yake ya kubroadcast. au mzee upo ulaya??
ukitaka kupata channel nyingi zaid nunua receiver ya mpeg 4
poa naweza kupata kwa shilling ngapi? pia zinapatikana maduka gani hapa dar!
oyaa unatmia dish size gani mkuu?haya jamani k24 inapatikana kuptia satellite ya eutelsat 36E kwa receiver ya mpeg 2 me natumia mediacom 930+ naipata kwa freq ya 12440 symb 23437