Arselona
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 643
- 153
mkuu hebu nipe mawazo, nahitaji direction ya DSTV, CANAL++ NA MYTV AFRICA nitahitaji madishi mangapi hapo?? jee naweza kupunguza idadi ya madishi??
inakulazimu kuwa na madishi mawili ingawa kujaeleza hiyo canal+ ni ya sat gan. Uewelewa wangu canal+ inapatikana africa kupitia satellites Nss7 na Eutelsat 16A ambazo zote huelekea magharibi, yakwanza ni cband na ya pili ni ku-band.