Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

mkuu hebu nipe mawazo, nahitaji direction ya DSTV, CANAL++ NA MYTV AFRICA nitahitaji madishi mangapi hapo?? jee naweza kupunguza idadi ya madishi??

inakulazimu kuwa na madishi mawili ingawa kujaeleza hiyo canal+ ni ya sat gan. Uewelewa wangu canal+ inapatikana africa kupitia satellites Nss7 na Eutelsat 16A ambazo zote huelekea magharibi, yakwanza ni cband na ya pili ni ku-band.
 
ni ya kidishi kidogo,itakuwa ni ku band. huku uswahilini tunaita parabola. zile channels tunazochakachua kwa kile ki adapter kinachoingia lain ya simu ili kuonesha bure mechi zote.
kwa ufupi nataka ku combine hizi 3 pay tvz nizigonge bure kwa kutumia hiki ki adapter. maana ukielekeza dishi kumoja kumoja zinakubali. sasa naziungaje hizi tatu kwa madishi mawili.
 
mkuu hebu nipe mawazo, nahitaji direction ya DSTV, CANAL++ NA MYTV AFRICA nitahitaji madishi mangapi hapo?? jee naweza kupunguza idadi ya madishi??

ndugu yangu paje bonyeza page no 1 kunapicha dstv,mytv,nk zote unapata kwenye dishi 1 kwamaitaji yako unatakiwa uwe na dishi 2
 
hivi kwa kutumia dstv dish na receiver ya media com naweza kupata channel yoyote? natanguliza shukrani
 
utapata cctv kama tatu hivi, zile za english na kichina, na ile dish tv inayopromote vipindi vya dstv.
 
asante mkuu..
pia natumia media com na dish la futi 8 , nimefunga lnb mbili moja ya local na nyingine inashika aljazeera, dunya, samaa, cctv n.k .. ningependa kupata chanel za kenya nifanyeje? pia nina lnb za cband na ku band cjazifunga
 
ukitaka kupata channel nyingi zaid nunua receiver ya mpeg 4
 
wapi naweza kupata satelite za hotbird au astra hizi ni kwa ajili ya kutumia card ya aljazeera
 
duh, mwamba umenikumbusha nilipokuwepo dunia ya kwanza. hizi hotbird na astra beam yake inaishia kule kule ulaya tu, na baadhi ya nchi za asia na africa kaskazini inadokoa kidoogo. huku kwetu hata miyale haifiki. hata ukiwa na dishi la futi 100.
kila satellite ina area yake ya kubroadcast. au mzee upo ulaya??
 
ahsante mkuu kwa kunifahamisha mii nipo france kwa maana hiyo kama mimi nataka kupata chanal za aljazeera kwa kutumia ile card yao ni vifaa gani inabidi niwe navyo nikiwa tanzania hebu weka item hata ikibidi kwa picha ili sote tuapate kujua zaidi natanguliza shukrani
 
na wale wanao tumia card za aljazeera waliopo tanzania wanatumia kupitia lnb gani dishi la futi ngapi na satelite gani na recever gani maelezo zaidi tunaomba
 
haya jamani k24 inapatikana kuptia satellite ya eutelsat 36E kwa receiver ya mpeg 2 me natumia mediacom 930+ naipata kwa freq ya 12440 symb 23437
 
Back
Top Bottom