Codehood
JF-Expert Member
- Dec 9, 2021
- 471
- 1,056
Hata mimi nikiwa Raisi mtanisamehe kwa kweli. Ndugu zangu, watoto wangu na marafiki ndio vipaumbele vyangu, hata kwa kuvunja sheria✍️Hivi huyu si ndo alipata 4 St Mathew, afu akaibukia UDOM? nasikia sahivi yuko BOT? au namfananisha?