Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Tuko pamoja sio kuvunja Sheria familia yangu haiwezi kupauka kisa kusema uzalendo kwanza, ambao mwenyewe sikuonyeshwa huo uzalendo,Hata mimi nikiwa Raisi mtanisamehe kwa kweli. Ndugu zangu, watoto wangu na marafiki ndio vipaumbele vyangu, hata kwa kuvunja sheria✍️