secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kwa sababu wewe ulikuwa tajiri siyo.Wewe nae, mimi hizo habari zake za kusakama matajiri nilikuwa sizipendi kabisa.
Kwa sababu wewe ulikuwa tajiri siyo.Wewe nae, mimi hizo habari zake za kusakama matajiri nilikuwa sizipendi kabisa.
No commentKwa sababu wewe ulikuwa tajiri siyo.
Kwani unataka kusemaje?Modi watanifungia
Hahaha 😁No comment
Angekua na pesa angesaidia wadogo zake akawalipia Ada. Hujui Tafsiri ya maneno wwe. Dogo hana hela kwani Ada ya chuo si milion 3 per year,labda udaktari
Why mpaka Samia Asaidie?
Hana hela Ndio tafsiri yake
Hicho ndio umejifunza?Mimi nimempenda tu alivyo,inaonyesha ni msichana tulivu na makini.
Tabasamu lake limenikata maini kabisa natamani awe mke wangu
Ndio,unapoona mtu anazungumza vipo vingi unajifunza unavutiwa navyo n.kHicho ndio umejifunza?
Sasa alipotoka hapo akaenda A level au diploma kabla ya kwenda chuo kikuu UDOM?O level bhana, alipata div 4. Uliza vizuri.
In4 ya mwanzo haikua sahihi kwangu, ila nimefanya utafiti, yuko sawa, alienda Dip. Baada ya O level.Sasa alipotoka hapo akaenda A level au diploma kabla ya kwenda chuo kikuu UDOM?
Ok..Ndio,unapoona mtu anazungumza vipo vingi unajifunza unavutiwa navyo n.k
We unadhani kujifunza kwa namna kama unatarajia kufanya mtihani? Go beyond borders. Hata mwili unaweza kuzungumza bila kutoa sauti, inategemra mzungumzaji unamtazama kutoka kwenye angle ipi,we differ...