Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
Mnasahau kuwa wake za viongozi (Rais) wanapata mshahara sawa na 75% (kama sikosei) za Rais aliyeko madarakani. Sasa Janet atashindwaje kusomesha wanae?Angekua na pesa angesaidia wadogo zake akawalipia Ada. Hujui Tafsiri ya maneno wwe. Dogo hana hela kwani Ada ya chuo si milion 3 per year,labda udaktari
Why mpaka Samia Asaidie?
Hana hela Ndio tafsiri yake