Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

Hata hizo Certificate na Diploma sijaona, maana kamaliza 2011, 2012 anaomba bachelor UDOM.

ndo maana wadau wakahoji inawezekanaje hii, tazama vizuri hapo ktk uzi husika.
Kuna jambo haliko sawa. Kuna sehemu ni kama amesema amemaliza chuo 2019. Na kama atakuwa alimaliza master mwaka huo basi hesabu zake ziko sahihi endapo alianza certificate 2011
 
Basi sawaa.
 
Kuna rais na marais!! Magufuli - rip alikuwa mzalendo haswa. Sio kuna huyu rais mwingine mstaafu toka February kigulu na njia utasema alikula miguu ya kuku sana utotoni, anazurura tu huko angani nadhani hata wajukuu hawajui yupo wapi anakula pesa tu za walipa kodi huku akiwa na marupu rupu ya ustaafu. Huyu mstaafu sijui kuna legacy gani kaacha kwa bongo zaidi ya uzururaji tu kufisadi. Inasikitisha sana .
 
Vasco Da Gama 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom