Hata mimi nikiwa Raisi mtanisamehe kwa kweli. Ndugu zangu, watoto wangu na marafiki ndio vipaumbele vyangu, hata kwa kuvunja sheria✍️Hivi huyu si ndo alipata 4 St Mathew, afu akaibukia UDOM? nasikia sahivi yuko BOT? au namfananisha?
Sasa hapo kama alienda shule private A level, halafu akafanya vizuri ACSEE, mbona UDOM anaingia vizuri tu.O level bhana, alipata div 4. Uliza vizuri.
Daaah, sawa mpwa basi tuishi humo.Hahaha yeah
Kwa macho ya kiroho ni mrembo sana, ila kwa macho ya nyama ni mweusi tii mpaka ukae angle nzuri umtazame kwa makini utajua ni binti makini!
Wee em sema kweli?Hata mimi nikiwa Raisi mtanisamehe kwa kweli. Ndugu zangu, watoto wangu na marafiki ndio vipaumbele vyangu, hata kwa kuvunja sheria✍️
Sina hakika km alienda Advance, ngoja nijaribu kutafuta data vizuri.Sasa hapo kama alienda shule private A level, halafu akafanya vizuri ACSEE, mbona UDOM anaingia vizuri tu.
CseeDuh division 4 ACSEE???
Thread 'Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?' Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?Hivi huyu si ndo alipata 4 St Mathew, afu akaibukia UDOM? nasikia sahivi yuko BOT? au namfananisha?
Kwanini huo ubunge usipewe au mimi ?! Why yeye?Inamaana Samia ameshindwa kumshika mkono huyu mtoto kumpa hata Ubunge wa Viti maalum
Hata milioni 200 basi mwanangu Chukua hii?
Huyu mama aliishije na Magufuli
Kwenye interview amesema Raisi Samia bado yuko nao karibu, anasomesha wadogo zake ambao sasa wako chuo, anamhudumia kimatibabu mama mzazi wa hayati Magufuli na anawasiliana na mama Janet kwa karibu.Inamaana Samia ameshindwa kumshika mkono huyu mtoto kumpa hata Ubunge wa Viti maalum
Hata milioni 200 basi mwanangu Chukua hii?
Huyu mama aliishije na Magufuli
Hiyo ni fact unless prove me wrong kama na wew utafanya tofauti ikitokea umepata mamlaka kama hayo.Wee em sema kweli?
Aliwezaje kusoma Degree bila kupita ACSEE? mbona hatariii hii, LolThread 'Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?' Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?
Sina jibu, 😂😂😂😂Hiyo ni fact unless prove me wrong kama na wew utafanya tofauti ikitokea umepata mamlaka kama hayo.
Kwenye interview amesema Raisi Samia bado yuko nao karibu, anasomesha wadogo zake ambao sasa wako chuo, anamhudumia kimatibabu mama mzazi wa hayati Magufuli na anawasiliana na mama Janet kwa karibu.
Tusubiri kuona safari ya Jesca inaelekea wapi, bado umri wake mdogo, mtoto wa 1996.
Kamsikilize vizuri Jesca. Kasema tangu alipokufa baba yao mama Samia anasomesha watoto Jpm kwa kuwalipia ada mpaka sasaInamaana Samia ameshindwa kumshika mkono huyu mtoto kumpa hata Ubunge wa Viti maalum
Hata milioni 200 basi mwanangu Chukua hii?
Huyu mama aliishije na Magufuli
Huyo mrembo ana nyota kali, katika watoto wa Mzee Magu yeye ndo maarufu96 sio mdogo,29 Years
Huyu mtoto anaumia moyoni na kuna kitu anatamani sio bure.
Unajua inauma kuwa na Jina kubwa alafu huna pesa wala cheo?
Amesema hana pesa?au sijasikiliza vizuri96 sio mdogo,29 Years
Huyu mtoto anaumia moyoni na kuna kitu anatamani sio bure.
Unajua inauma kuwa na Jina kubwa alafu huna pesa wala cheo?
Unaniangusha ntakurudisha mfaranyaki. Kwani vigezo vya kupata nafasi ya kusoma degree ni lazima ufanye mitihani ya ACSEE? Vipi kama alipata certificate na Diploma kisha Degree?Aliwezaje kusoma Degree bila kupita ACSEE? mbona hatariii hii, Lol
Kwanini huo ubunge usipewe au mimi ?! Why yeye?