Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI?
STIMU ZIMELIPIWA (COPY MY MOTION)
Hii ni segment mpya ambayo itakuwa inaangazia wasanii waliotamka kauli zinazokinzana.
Tuanze na John Simon "Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini" kwenye wimbo wake uliotajwa hapo juu.
"I'M BIG FISH IN THIS OCEAN" DAKIKA ya kwanza, sekunde 0 inapatikana nukuu hii, ambapo kwa tafsiri isiyo rasmi anasema YEYE NI SAMAKI MKUBWA NDANI YA BAHARI HII.
Tukienda kwenye kiitikio anasema;
"NAWAVUA KAMA SAMAKI WABICHI KUTOKA OCEAN" Dakika ya kwanza, sekunde ya 43 inasikika nukuu hii.
Sasa kwenye dakika ya kwanza, Joh ni samaki lakini ndani ya sekunde 43 tu Joh anavua.
Swali ni je, kuna SAMAKI mwenye uwezo wa KUVUA?
Je tubaki na wazo kwamba JOH NI SAMAKI MKUBWA au TUKUBALI KWAMBA JOH NI MVUVI ANAYEWAVUA KAMA SAMAKI WABICHI?
Eti Scars TUCHUKUE LIPI, TUACHE LIPI?
LUAH (LENGO, UWEZO, AKILI, HISIA)