situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Hauwezi kujenga uchumi bila kukutana na wananchi ili uwaambie nini cha kufanya, usiwaogope Chadema wao ni kama wewe.Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu mikutano ya kisiasa ifanyike mara moja kwa week tena jpili Tu. Kila chama kifanye mkutano mmoja kwa mwezi. Hii itawapa Wa Tanzania muda Wa kufanya kazi na kujenga uchumi Wa nchi.haya nimaoni yangu naomba tujadiri bila matusi
cdm wanakusanya kodi? Tuanzie hapoPamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu mikutano ya kisiasa ifanyike mara moja kwa week tena jpili Tu. Kila chama kifanye mkutano mmoja kwa mwezi. Hii itawapa Wa Tanzania muda Wa kufanya kazi na kujenga uchumi Wa nchi.haya nimaoni yangu naomba tujadiri bila matusi
Huu ushauri kawape ndugu zako hasa Shangazi zako na Wajomba zako kule bushiPamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu mikutano ya kisiasa ifanyike mara moja kwa week tena jpili Tu. Kila chama kifanye mkutano mmoja kwa mwezi. Hii itawapa Wa Tanzania muda Wa kufanya kazi na kujenga uchumi Wa nchi.haya nimaoni yangu naomba tujadiri bila matusi