Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

unataka kuelimishwa au unataka kubishana? cheo cha kisiasa unaita mtumishi wa umma?
Unajua maana ya kuwa mtumishi wa umma? Mkuu wa wilaya anatumikia nini na mshahara wake analipwa na nani? unao uelewa kwamba hata rais ni mtumishi wa umma namba moja au hizi shule zenu za MEMKWA ni kwenda kuzurura tu.
 
JF of GT's, tunajadili uvaaji wa nguo!
Mkiandikiwa heading story au thinking story unapita juu kwa juu wala hausomi, asilimia kubwa mnapenda hizi za udaku.

Ndiyo maana mnajazana Insta kwa yule binti aliye ughaibuni kufuatilia umbea ila kwenye mada ngumu unakuta wapo wanaume 7 wanajadiri!!.
 
Back
Top Bottom