Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

Picha 1: Rais wa Ukraine akiwa kwenye mkutano na nchi za EU (kavaa t-shirt)
Picha 2: Aliyekua waziri mkuu aliyepita wa Uk, akiendesha baiskeli kwenda kazini
Picha 3: Rais toka Nchi za giza akienda kazini! akiwa na ulinzi wa kutosha, na chawa wa kutosha

Kwa sasa Matokeo/Maendeleo yanatakiwa zaidi kuliko protokali,sera, kanuni, chama, mavazi,
Kuna watu wana vaa masuti muda wote hata mchana wa jua kali, sasa uliza wanafanya nini? Hakuna
 

Attachments

  • page.jpg
    page.jpg
    21.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom