Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

wengi tu ndo maana nikasema hakuwa mgumu kiasi cha pricebreaker kusifiwa. hata domo alishakula.

unadhani asingetangulia pricebreaker angethubutu kutia mguu kwa mlimbwende? thubutu, angepotezwa mazima.
Hahaha..............kumbe alikuwa wakawaida

Mzee alikuwa hapendi kushea 🤪
 

Attachments

  • 181152B9-A650-4849-9AF7-B71A43CE351C.jpeg
    181152B9-A650-4849-9AF7-B71A43CE351C.jpeg
    72.1 KB · Views: 4
  • 94ABE78B-15A1-4310-900A-7F87AC078763.jpeg
    94ABE78B-15A1-4310-900A-7F87AC078763.jpeg
    60.2 KB · Views: 1
Huu ndio ubaya wa kukariri kila kitu.
Sasa hapo amekosea nini kwenye hilo vazi, mavazi gani wanapaswa kuvaa hao viongozi wa serikali unaowasema wewe
 
Back
Top Bottom