Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

Sawa kabisa.
Sishangai nikikukuta ofisini umevaa pensi na jezi la Galatasaray, huko kichwani nywere umetibua!.
Kwani kuna shida gani kama anadeliver, akili sio mavazi au muonekano, matapeli ndo wanapendaga wawe na muonekano mzuri ili kuhadaa watu, kama hao wavaa suti wenu masaa yote kumbe wezi tu.
 
Ongeza exposure.
Yeye kiongozi ndio hana exposure. Aliishi ubalozini Ulaya akiwa mtoto mdogo, hakujifunza lolote. Total pinhead.

Kiongozi wa Ulaya hawezi kuja kwenye ukaguzi na kavaa street clothes. NEVER!

Subordinates wako wakivaa mavazi rasmi wewe bosi unakijaje kazini kihuni huni ???

Anakagua majengo my grits! Mbona hana helmet na reflective vest?? Wewe na huyo binti ndio hamna exposure.

Maadili ya viongozi yameporomoka. No way in hell Area Commissioner wa Julius Nyerere administration angevaa Air Jordans za laki tatu kuwakoga wananchi masikini wachafu.
 
Mwongozo huu hapa
1.png
2.png
 

Attachments

  • 2.png
    2.png
    36.9 KB · Views: 2
Unazingua aise. Nimefungua uzi kwa kasi, nikajua amevaa Bikini ofisini nione 'neema za Allah'.
 
Back
Top Bottom