brazaj serikali ya awamu ya sita ni ya uwazi hina maficho ficho kama ya awamu ya sita ndio maana wanavaa barakoa kwenye hili la kesho hawavai halaiki hii vile hii vile....Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida.
Zaidi sana leo hadi mechi ya we kundi wa Msimbazi na Kagera Sugar kule Kaitaba, imebidi kuahirishwa. Kisa na makosa ikiwa ugonjwa huu kwa wengi wa wageni waliowasili kutokea Dar.
Taarifa ya ufafanuzi kutokea wizarani kuhusiana na hali hii ni kwamba huu ugonjwa ni wa kawaida. Kuwa hutokea mara kwa mara mwishoni mwa mwaka.
Kwa hakika taarifa hii ya wizara ni mfano wa majibu rahisi kwenye maswali magumu.
Hakuna mwaka wowote zaidi ya huu hali aliwahi kuwa hivi. Mwaka huu tumefikia kufuta mechi wachezaji wanaumwa!
Dalili za mvua ni mawingu. Mficha u*hi hazai. Pia mficha maradhi kifo humfichua.
Hala hala tusije kulaumiana.
Maisha ya watu ni muhimu zaidi kuliko kitu chochote.
Herd immunity ilijengwa awamu ya tano na ikaibukia awamu ya sita.Kama Watu wanapata mafua kwa wingi hivi na hakuna anaefikia hatua ya kulazwa tuseme Alhamdulillah hii ndio Herd Immunity ya Jumla inajijenga na baada ya hapo itapita kama hakuna kitu
Hata 2019 miezi kama hii hali ilikuwa kama hii na ikatusaidia kuvuka salama tulivyovuka
Kama Watu wanapata mafua kwa wingi hivi na hakuna anaefikia hatua ya kulazwa tuseme Alhamdulillah hii ndio Herd Immunity ya Jumla inajijenga na baada ya hapo itapita kama hakuna kitu
Hata 2019 miezi kama hii hali ilikuwa kama hii na ikatusaidia kuvuka salama tulivyovuka
Taarifa rasmi ishatolewa na serikali kupitia mganga Mkuu. Sema wewe kama una majibu mengine tofauti tushirikishe
Mwaka 2019 Mwishoni, raia mitandaoni walikuwa wakidiscuss mafua ya ajabu. Hii ni kabla hata Korona haijatangazwaReally? 2019? COVID-19 iligundulika Wuhan December 2019. TZ tulikuwa nayo tayari?
Herd immunity ilijengwa awamu ya tano na ikaibukia awamu ya sita.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Really? 2019? COVID-19 iligundulika Wuhan December 2019. TZ tulikuwa nayo tayari?
Mwaka 2019 Mwishoni, raia mitandaoni walikuwa wakidiscuss mafua ya ajabu. Hii ni kabla hata Korona haijatangazwa
Umetisha mkuu.Tofautisha ukweli na rasmi. Tusije kupeleka ugonjwa vijijini.
Kuna zingine hizi hapa nazo zilikuwa rasmi:
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni?
View attachment 2049102
brazaj serikali ya awamu ya sita ni ya uwazi hina maficho ficho kama ya awamu ya sita ndio maana wanavaa barakoa kwenye hili la kesho hawavai halaiki hii vile hii vile....
How do you coat meal sijui mafua mafua seasonal flu wakati kama ni omcron waburst tu watu wachukue tahadhari. Mlisema hamtaki unafiki but what we see is.better off handling ya mafua ya awamu ya tano kuliko haya ya awamu ya sita ya kinafki。
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
"Rais yuko ikulu anachapa kazi, tena kanipa salamu zenu"
Herd immunity ilijengwa awamu ya tano na ikaibukia awamu ya sita.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app