tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Mkuu nimeumwa si kidogo. Jumatano kuamkia alhamisi nilijua ndo mwisho wangu hapa duniani.Homa kaliiii,kifua kilikuwa kinabanaaa na pumzi inakata koo linakauka ohooooo!Hawataki kuwaambia watu kuchukua tahadhari husika. Ngoja tupeleke mbegu hadi vijijini na sikukuu hizi.
Kwa hakika wanachofanya ni uhuni kamili!
Now naona hata kula natamani matangawizi limao asali na madawa mengine nakunywa tu