Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

Pamoja na jitihada zozote ambazo kama nchi tunazoweza kuchukua, assume all standard and recommended measures are put in place, still Kuna watu watakufa. That's natural history of any disease. Ni kweli tuendelee kuchukua tahadhari zote lakini suala la kufa anayejua ni Mungu.

Measures hata za kuwataarifu watu kama vipi wasisafiri kwenda likizo kwenye hizi likizo za mwisho wa mwaka wewe huoni kuwa zingeweza kuokoa maisha ya watu?

Kwanini wanafanya siri yao na familia zao?

Kuna Simba mahali wanafanya siri wa kuliwa shauri yake isipokuwa wao?

Kama ndoto vile. Maisha ya muhimu ni yao peke yao siyo?
 
Duh,Muogope Mungu. Makonda wote!?
Halafu umepanda daladala za wapi Mkuu!?
Maana jana tu ulikua Sanya juu!?
Sawa,umefika Dar kwa ndege,huko hali ilikuaje!?
Wewe Sanya juu unapaona ni mbali?

Kwani London unatumia saa ngapi bwashee direct?
 
Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana na homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida.

Zaidi sana leo hadi mechi ya wekundu wa Msimbazi na Kagera Sugar kule Kaitaba, imebidi kuahirishwa. Kisa na mkasa ugonjwa huu uliowang'ang'ania ghafla wengi wa wageni waliowasili kutokea Dar.

Taarifa ya ufafanuzi kutokea wizarani kuhusiana na hali hii ni kuwa huu ugonjwa ni wa kawaida. Kwamba hutokea mara kwa mara mwishoni mwa mwaka.

Kwa hakika taarifa hii ya wizara ni mfano wa majibu rahisi kwenye maswali magumu.

Hakuna mwaka wowote zaidi ya huu hali iliwahi kuwa hivi. Mwaka huu tumefikia hadi kufuta mechi wachezaji wanaumwa?!

Dalili za mvua ni mawingu. Mficha u*hi hazai. Pia mficha maradhi kifo humfichua.

Hala hala tusije kulaumiana.

Maisha ya watu ni muhimu zaidi kuliko kitu chochote.
Wapiga ramli mshaanza... sijui mnataka nn ktk hii nchi... kajfungue bas... mtt wa kiume unaumwa mafua unakuja kulalamika mitandaoni. Ulita wizara ya afya ikufanyeje sasa... acheni mawazo mgando...

Asante mama
Asante JPM
 
Mawazo mgando si mmesema mnayo viroboto:

IMG_20211212_224003_053.jpg
 
la kuambiwa changanya na zako,mpaka Sasa huwa nawaza tuliyoambiwa kuhusu kovid ,ni kweli ilikuwepo au kiini macho!?, population tz mil.60,chanjo mil.1. na sio wote wamechanja, Sasa hawa wachache waliochanja ndo pametulia hv!?, anyway ,haka kadalili ka mafua na kifua kubana kias,kasiwaogopeshe wahi hosptl,kapate chanjo Kama bado!!
 
Ngoja wajishauri kwanza. "Mtanzania ni mchumi wa magonjwa na ujuzi" -- Mh. Jaji

Swali fikirishi kuhusu chanjo za Corona
 
Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana na homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida.

Zaidi sana leo hadi mechi ya wekundu wa Msimbazi na Kagera Sugar kule Kaitaba, imebidi kuahirishwa. Kisa na mkasa ugonjwa huu uliowang'ang'ania ghafla wengi wa wageni waliowasili kutokea Dar.

Taarifa ya ufafanuzi kutokea wizarani kuhusiana na hali hii ni kuwa huu ugonjwa ni wa kawaida. Kwamba hutokea mara kwa mara mwishoni mwa mwaka.

Kwa hakika taarifa hii ya wizara ni mfano wa majibu rahisi kwenye maswali magumu.

Hakuna mwaka wowote zaidi ya huu hali iliwahi kuwa hivi. Mwaka huu tumefikia hadi kufuta mechi wachezaji wanaumwa?!

Dalili za mvua ni mawingu. Mficha u*hi hazai. Pia mficha maradhi kifo humfichua.

Hala hala tusije kulaumiana.

Maisha ya watu ni muhimu zaidi kuliko kitu chochote.
Mungu atuepushe na majanga haya, amin.
 
Umetoroka Mirembe? Mleta hoja umemuelewa?
Nimejibu koment yako. Huyo mleta hoja au mada anataka kulazimisha hisia zake ndio sahiii. And serikali kusema ni mafua ya msimu hawako sahihi. Ndio hapo ukapewa reference ya mafua 2019. Unaanza kuleta habari zako za covid.
 
Yani vile nimeugua kuanzia alhamisi mpaka jana! Mungu anajua. Nilianza kata tamaa.Homa kali,mafua,kifua,baridiiiii mwili mzima.

Nimepambana na madawa ya kila aina at least leo naona naanza hata kujielewa.

Kuna shida ipo
 
Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana na homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida.

Zaidi sana leo hadi mechi ya wekundu wa Msimbazi na Kagera Sugar kule Kaitaba, imebidi kuahirishwa. Kisa na mkasa ugonjwa huu uliowang'ang'ania ghafla wengi wa wageni waliowasili kutokea Dar.

Taarifa ya ufafanuzi kutokea wizarani kuhusiana na hali hii ni kuwa huu ugonjwa ni wa kawaida. Kwamba hutokea mara kwa mara mwishoni mwa mwaka.

Kwa hakika taarifa hii ya wizara ni mfano wa majibu rahisi kwenye maswali magumu.

Hakuna mwaka wowote zaidi ya huu hali iliwahi kuwa hivi. Mwaka huu tumefikia hadi kufuta mechi wachezaji wanaumwa?!

Dalili za mvua ni mawingu. Mficha u*hi hazai. Pia mficha maradhi kifo humfichua.

Hala hala tusije kulaumiana.

Maisha ya watu ni muhimu zaidi kuliko kitu chochote.
Kwahiyo unataka nchi iwe kwenye lockdown watu wafe kwa hofu? Na chakula utawapa wewe? Bora maisha yasonge kila mmoja achukue tahadhari
 
Back
Top Bottom