- Thread starter
- #81
Yani vile nimeugua kuanzia alhamisi mpaka jana! Mungu anajua. Nilianza kata tamaa.Homa kali,mafua,kifua,baridiiiii mwili mzima.
Nimepambana na madawa ya kila aina at least leo naona naanza hata kujielewa.
Kuna shida ipo
Hawataki kuwaambia watu kuchukua tahadhari husika. Ngoja tupeleke mbegu hadi vijijini na sikukuu hizi.
Kwa hakika wanachofanya ni uhuni kamili!