Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

Ni kumwomba tu kwa hali tunayopitia ..nimeenda car wash mchana wa leo ..waosha magari wote wanakohoa na chafya nyingi hapa tegeta...
Mimi sijaenda sehemu yeyote ile, ila hapa nina mafua na kikohozi hatari sana
 
"Rais yuko ikulu anachapa kazi, tena kanipa salamu zenu"
Endelea kumwamini

Huku ni kufanya mzaha na maisha ya watu.

Na sikukuu hizi kuna watu watapeleka mbegu hadi vijijini kwa kutokuwepo kwa taarifa sahihi.
 
Ni kumwomba tu kwa hali tunayopitia ..nimeenda car wash mchana wa leo ..waosha magari wote wanakohoa na chafya nyingi hapa tegeta...

Tunaambiwa ni hali ya kawaida kupo sawa wakati wao wamehodhi taarifa sahihi kwao na familia zao.
 
Tukiachana na Wizara ya Afya, Waziri Mkuu amesemaje ? Tuchape kazi jamani !
3038576_IMG_20211218_184246.jpg

View attachment 2049096
Mzee sokomoko
 
brazaj serikali ya awamu ya sita ni ya uwazi hina maficho ficho kama ya awamu ya sita ndio maana wanavaa barakoa kwenye hili la kesho hawavai halaiki hii vile hii vile....

How do you coat meal sijui mafua mafua seasonal flu wakati kama ni omcron waburst tu watu wachukue tahadhari. Mlisema hamtaki unafiki but what we see is.better off handling ya mafua ya awamu ya tano kuliko haya ya awamu ya sita ya kinafki。

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Yani unataka serikali ndo ikwambie ujikinge/uchukue tahadhari?
 
Yani unataka serikali ndo ikwambie ujikinge/uchukue tahadhari?

Mawazo duni kabisa ya kufungia mwaka 😁😁.

Magonjwa ya milipuko kama haya ambayo dunia inayaita janga, hayakupi wewe nafasi ya kujiokoa mwenyewe kama ambavyo ungependa na bila hata ya taarifa sahihi.

Mzee baba si angekuwapo basi?

Huu siyo ukimwi mjomba.
 
Kama Watu wanapata mafua kwa wingi hivi na hakuna anaefikia hatua ya kulazwa tuseme Alhamdulillah hii ndio Herd Immunity ya Jumla inajijenga na baada ya hapo itapita kama hakuna kitu

Hata 2019 miezi kama hii hali ilikuwa kama hii na ikatusaidia kuvuka salama tulivyovuka
Mazuzu awawezi kukuelewa
 
Duh ndiyo narecover hapa, haijawahi kuwa hivi ni maumivu makali mnoo
 
Kama Watu wanapata mafua kwa wingi hivi na hakuna anaefikia hatua ya kulazwa tuseme Alhamdulillah hii ndio Herd Immunity ya Jumla inajijenga na baada ya hapo itapita kama hakuna kitu

Hata 2019 miezi kama hii hali ilikuwa kama hii na ikatusaidia kuvuka salama tulivyovuka
Jana nimekwenda hosp nikaambiwa kuna watu wamelazwa pale kwa flu
 
Sie sometimes tunaishi kama wachina wachina vile too secretive. Ila alhamdulilah na hili litapita.
 
Back
Top Bottom