Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

Hawataki kuwaambia watu kuchukua tahadhari husika. Ngoja tupeleke mbegu hadi vijijini na sikukuu hizi.

Kwa hakika wanachofanya ni uhuni kamili!
Mkuu nimeumwa si kidogo. Jumatano kuamkia alhamisi nilijua ndo mwisho wangu hapa duniani.Homa kaliiii,kifua kilikuwa kinabanaaa na pumzi inakata koo linakauka ohooooo!

Now naona hata kula natamani matangawizi limao asali na madawa mengine nakunywa tu
 
Pole sana mkuu. Madhali umevuka tusiache kinapigiwa kelele hawa anaowananga kiroboto.

Ya kwamba sasa ndiyo wako hapa:

"Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abele Makubi amesema maambukizi ya #COVID19 yanaendelea kukua kwa kasi pamoja na uwepo wa mafua ya kawaida."

Kwamba "pamoja na uwepo wa mafua ya kawaida?" Si waseme tu ngwengwe iko ndani ya muji tushirikiane kuwahami ndugu vijijini?

Wizara ya Afya yatahadharisha wazazi kutowapeleka watoto maeneo ya mikusanyiko kuepuka UVIKO ambao unaendelea kusambaa kwa kasi

Kwa maslahi ya nani wanang'ang'ana kuficha?
 
Back
Top Bottom