Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Dah mkuu bora hata wewe umeongea ukweli. Watu wa humu sijui wapo vipi aisee ..
Kwahyo mfano kwa mwezi waeza tumia mara ngapi au kwa wiki mara1
Mm inategemea na game lenyewe, nikiona mpinzani wangu anataka full time na extra time hapo itabidi nipake ila kama n kawaida bc ctumii
 
Bwana Misitu, malembeka18 na dos.2020 nawaonea huruma sana kwa sababu naielewa sana hali mnayopitia.

Mimi sitaongelea hayo mavumbi na dawa zozote, sijawahi kutumia na sizielewi kabisa. Na awali ya yote niseme wadau wanaosema kula vyakula (walivyotaja na kunywa maji ya kutosha) na kutuliza akili wako sahihi kabisa, ingawa nafahamu ugumu wa hili la pili (la kutuliza akili). Kwa mtu ambaye hajapitia haya ni vihumu sana kuelewa ugumu wa dhana ya kutuliza akili (ni rahisi kumueleza mtu, kuliko mtu husika kulifanikisha). Nilielezee kidogo hili: Wengi tunaokuwa kwenye hili tatizo huwa tunakuwa tayari tushaathirika kisaikolojia.

Utasema mbona akili iko sawa, sina papara, nk, lakini ndani ya nafsi upo wasiwasi na sehemu ya hofu inayojiuliza "nitaweza?". Ni ngumu sana kuwa "normal" kama ambavyo ulikuwa unapoingia katika mechi wakati hupitii haya matatizo. Sasa ni nini nilichojifunza? NAFASI YA M/KE. Kiukweli ikiwa mwanamke uliyenanye anakupa "presha" na kuonesha anawalakini nawe ndiyo anakudhoofisha kabisa wakati wa pambano. Ikumbukwe, kwa wapitiaji wa hali yetu, ukishamaliza round ya kwanza (ambayo hutokea haraka kuliko kawaida) huwa tunahitaji muda wa kutosha kuanza upya.

Hapa ndipo kipimo cha saikolojia kilipo, na ndipo ambapo m/ke anaweza kukuondoa kabisa mchezoni ama kuisaidia saikolojia yako. Maneno huwa hayahitajiki hapa kutoka kwa m/ke maana lolote linaweza kukuondolea ujasiri. M/ke makini haoneshi kushtukia hali yako, atajua tu ushachemsha round ya kwanza na kusubiri round(s) zijazo, atakulia timing tu....ikisimama hata kidogo atairudisha ndani fasta (uzuri jamaa akianza kusimama akarudishwa ndani wewe ukiwa katika hali nzuri ya kimawazo anaamka zaidi hukohuko). Lakini bahati mbaya w/ke huwa wanatuvuruga hapa.

Hivyo usipokuwa na m/ke makini unahitaji uwe na uwezo mkubwa sana mwenyewe wa kujipa ujasiri (ni kazi kubwa kama nilivyoelezea awali lakini inayowezekana). Na uzuri ukiweza hata mara moja kufanya rounds zaidi ya moja, unakuwa ushaondoa dhana kuwa unashida...ni powerful statement going forward!

Nimeandika kirefu kwa vile ninaelewa sana mnayopitia, nilitamani hata tungekutana tupeane uzoefu. Binafsi nawaelewa sana waliotaja vyakula, maji, mazoezi na hali nzuri ya akili.
 
Asante sana ndugu yangu Guus japo huku niliko hali imezidi kuwa mbaya ndio maana hata ujasiri wa kureta mrejesho nakiosa
 
Bwana Misitu, malembeka18 na dos.2020 nawaonea huruma sana kwa sababu naielewa sana hali mnayopitia.
Mimi sitaongelea hayo mavumbi na dawa zozote, sijawahi kutumia na sizielewi kabisa. Na awali ya yote niseme wadau wanaosema kula vyakula (walivyotaja na kunywa maji ya kutosha) na kutuliza akili wako sahihi kabisa, ingawa nafahamu ugumu wa hili la pili (la kutuliza akili). Kwa mtu ambaye hajapitia haya ni vihumu sana kuelewa ugumu wa dhana ya kutuliza akili (ni rahisi kumueleza mtu, kuliko mtu husika kulifanikisha)...
Naomba niseme kuwa umeandika uongo (sijapinga ulichoandika ila kwa kusema ukwel n kwamba ulichoandika kinafanya kazi kwa asilimia ndogo sana)
 
Mkuu nashindwa kukuelewa kabisa.

Kuwahi kukojoa ndani ya sekunde kadhaa sio masihara kabisa, nahata ukisubiria round ya pili ndio hayo hayo. Nimekata tamaa kwa kweli
Mkuu sio mchezo yan sijui kwakwel
 
Dahh asante sana mkuu hii Formula yako walau imejaribu kunitia moyo kwa kiwango fulani. Nitajitajitahidi niijaribu huenda ikanifaa kwa kweli napata fedheha sana kiasi kwamba mahusiano yangu yapo hatarini.

Ilikua bado muda mdogo sana nianze kuwa mfuasi wa hili jambo la mkongo kwakwel nilikua nishachoka masimango😓acha nianze hii tiba ndugu yangu..
Hahaha mkuu vipi mlejesho tafazali
 
Kuna dawa nyingine ya asili inaitwa al kasusi anayeelewa jinsi ya kuitumia atuambie.
 
Hahaha mkuu vipi mlejesho tafazali
Mkuu hapa nipo nimeshakubali matokeo, nimeamua kuwa mpole napambana na maisha nasubiri kifo, nataka nitafute mwanamke nizae ili nisife bila kuacha alama. Ila ndo hivyo shemeji yenu kashanikimbia nipo sina lakufanya.

My plan.

Kuna mdada single mother ana mtoto mmoja. Nahitaji tu nami anizalie walau watoto wawili ila sio kwa kumuoa maana imebidi nisimfiche hali yangu kwamba mimi ni wa sekunde 30 mchezoni. Licha ya kusimamisha na kuwa na uwezo wa ku ejaculate sperm nyingi sana.
Nashukuru amenielewa na nipo mbion kushiriki nae kwa ajili ya watoto tu.

Wasallam.
 
Mkuu hapa nipo nimeshakubali matokeo, nimeamua kuwa mpole napambana na maisha nasubiri kifo, nataka nitafute mwanamke nizae ili nisife bila kuacha alama. Ila ndo hivyo shemeji yenu kashanikimbia nipo sina lakufanya....
Mbona hueleweki ww jamaa, mara useme umepata tiba mara tena unasubiri kifo, tukuelewe vp.?
 
Niliamua kujikita kwenye Vumbi la Kongo kama ndio silaha ya mwisho. Majibu niliyoyapata ni mabovu
 
Back
Top Bottom