Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Bora Ni Bet Simba Na Yanga Nani Atashnda Kuliko Kubet Kitu Nisichokuwa Na Uhakika Nacho
 
Naona mfanya kazi wa BIKO umekuja kutuibia mda huu
 
Hiyo Inaitwa kamari

Inaendeshwa na kikundi cha watu Kwa ujanja sana

Vizawadi vidogo vidogo vipo ili kukufanya uendelee kuwachangia mifweza

Achana na hio michezo utaendelea kuwa masikini wa fikra ukishajiingiza huko muda wote akili yako itawaza majumba ya kifahari minoti Kwa kitu ambacho hutakipata kitaishia kwenye fikra tu na kujikuta umepoteza muda mwingi for nothing

Bet mpira unaweza shinda
 
Naomba kujua kama namba za bahati uwa zinafanana kwa watu wote kwa saa kama tukicheza watu 10 kwa kama tukikosa je namba zitafanana watakazo tuma
 
JE KUNA UKWELI WOWOTE KUHUSU BIKO? .....
naitwa geophrey ni mkazi wa arusha siku ya jana nime cheza BIKO jumla ya laki na 70 ,watu wengi tuna amini tuna weza kushinda ma milioni ya pesa 50m hadi 100m,Katika kucheza biko nime jifunza kitu sijui kama ni mawazo yangu.

Huu mchezo mwanzo una kuvutia mwanzoni ili uendelee kucheza kwa mfano kwa siku ya jana nilianza na elf 10 sikushinda nika cheza tena elf 10 nikashinda elf 20 nikacheza elf 20 tena nikashinda elf 50 lakin swali langu kubwa ili kushinda hzo m50 au m100 ina kuaje maana nme kuwa mtumwa nina ndoto za kushinda na nina nafasi 171 katika dro ya j5 na j2!!!!
 
Nitumie namba yako nikurudishie buku yako
 
Mimi siamini bahati nasibu, kwa sabab I don't believe in Luck
 
Nikimuangaliaga yule Jamaa anayesafiri kwenda kugawa zile pesa ile facial expression huwa inanipa maswali mengi sana!

Swali jingine kwako Wewe unayecheza Hivi unadhani wao wanafaidika nini? au hawana shida na hizo pesa?
 


Heading and contents are two different things!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…