Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Jaza_ujazwe
Tia_utiwe
Weka_uwekwe
Laza_ulazwe

GONGA _ UGONGWE
 
Hivi karibuni tumeshuhudia Jinsi ya D9 Club ilivyoleta kizaza na taharuki karibia Africa Nzima na wa Kwanza kushtuka alikuwa Rwanda ambaye alitahadharisha Wananchi wake kupitia Mabenki juu ya hii Scam. Vivyo hivyo Huku Kwetu tumeona BOT kupitia Umoja wa Mabenki ukitoa tahadhari pia juu ya hii kitu.

Sasa kuna huyu Mwingine ambaye anasema Nguvu ya Buku ( BIKO) ambapo Juzi walijinasibu kuwa Mpaka kufikia Juzi walikuwa wameshatoa 600,000,000/=.lakini hakuna aliyeweza hoji kuwa ni shirika Gani Ambalo unacheza 1000 halafu unazawadiwa 10,000,000. Hata kama Watanzania wote wacheze kwa wakati mmoja huwezi mwaga mihela hivyo kama Njugu.

Najua humu kuna wafanyakazi ambao kwa namna moja wanajua hii Siri ya Bahati Nasibu. Hawa jamaa wanatuibiaje? Na Wanapataje faida?
 
nimeona tangazo leo nikatest bahati nasibu ya j2, maybe i'm the winner who knows!
 
Haya mambo hayakuanza leo. Ni upuuzi uliotukuka na ndio maana wanajitangaza sana. Ile ni kamali ya kipuuzi. Kamali za ukweli hata huitwi wala hawajitangazi.
 
hongera dada kutoka kilosa- morogoro kujishindia milioni 20 jumatano hii na kwake kuwa jumatamu sasa tunasubiri jumadili litadondokea wap mwanza mwanza....kaeni mkao wa kula....
Imedondokea kwa Mkulima wa Handeni
 
Najiuliza ni kitu gani kimetokea mpaka serikali ikaruhusu hii kitu!
 
Ndugu wanajamvi kunajamaaa yangu apa anafanya kaz bandarini tumepanga nae kila siku katenga elfu kumi kucheza Biko lakini hashindi.

Ndugu zangu mchezo huu kweli watu wanashinda au?
 
Back
Top Bottom