mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]yaya miss rubii na kuona j5 hyo ukipata mamilion toka biko na kusahau ajira😛😛😛😛😛
Sijawahi kumuona mtangaza biashara kama wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]yaya miss rubii na kuona j5 hyo ukipata mamilion toka biko na kusahau ajira😛😛😛😛😛
ahaaa mkuu mjingamimi sipo uko ahaaa bingo on air jalibu bahat yako....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sijawahi kumuona mtangaza biashara kama wewe.
biko ni bora kamari ya mpira washapanga matokeo....Kubet Na Biko kipi Bora?
ahaaa achana na mkeka utajikuta chanika😀😀😀😀😛😛😛mil 20Bora kubet mkuu
mnakusanya hela wote,afu wanamchagua mtu mmoja wanampa 20mil zingine wanabaki nazo,ni mchezo wa kihuni sana bora kubet unaweza kutrace na kujua umekula au lah,ila hiyo sijui biko hovyoooooHuo mchezo unachezeshwaje
ukishika mawili moja hukuponyoka nguvu ya buku tukutane j5Kubet Na Biko kipi Bora?
Naombeni jibu mkuu@24hrsNilijarbu kuuchza
Ila nashangazwa sana
Kila nkchza nafas za kushnda haziwi na mwlkeo mzuri
Mara iwe 2, 1 na irudi tena 24
Yaan hujui kama unapanda au unashuka
Mh kumbe upo mtoto msuriiiiiiiii nilijua umehamia kibanda kingine[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Cheza wewe upate zote