Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Mm hapa juzi nilicheza nikaliwa buku jana niakacheza tena nikashinda elf10 wakanitumia through tigopesa papo hapo, faster nikamuona wakala na kuipeleka kwa muuzaji wa BALIMI LAGER.
 
Sasa Mkuu kwanini uzunguke si useme tu ni wewe...kamari ndio ilivyo mkuu..vigezo na masharti kuzingatiwa..
 
Ndugu wanajamvi kunajamaaa yangu apa anafanya kaz bandarini tumepanga nae kila siku katenga elfu kumi kucheza Biko lakini hashindi.

Ndugu zangu mchezo huu kweli watu wanashinda au?
Kwanini asibet mkuu?
 
Wala usihangaike mkuu,nenda kabetie tu hizo buku buku.
 
Anywe pombe hela yake, huo ni utapeli mwingine, ni sawa na kumtajirisha mwenzio
 
Wizi mwingine wa kipuuzi sana...
Eti unawatumia hela kama zao vile alafu we unaambiwa tu "bado nafasi 7 kushinda"....KWELI??
Namna gani mshindi anapatikana nahisi ni mpaka makusanyo yajae pomoni ndo anachaguliwa "MAKINIKIA mmoja" na kujazwa buku kumi...
Kamari gani hii hata mchezaji hajui inavyochezeshwa??
BORA NI-BET TU
 
Back
Top Bottom