Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
Biko ni magumashi kama magumasi mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ijue nguvu ya Buku!Biko ndio nini?
Kwanini asibet mkuu?Ndugu wanajamvi kunajamaaa yangu apa anafanya kaz bandarini tumepanga nae kila siku katenga elfu kumi kucheza Biko lakini hashindi.
Ndugu zangu mchezo huu kweli watu wanashinda au?
Tuma héla tu hayakuhusu kujua inachezeshwajeJinsi ya kucheza huo mchezo please anayejua
HahahaahaaMm hapa juzi nilicheza nikaliwa buku jana niakacheza tena nikashinda elf10 wakanitumia through tigopesa papo hapo, faster nikamuona wakala na kuipeleka kwa muuzaji wa BALIMI LAGER.