Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijaelewa mkuu???????????
jaribu bahati yakoMambo mAdimu nho
Huo mchezo unachezeshwajesijaelewa mkuu
uliliwa ama cheza sasa upate zawad za papo kwa papo 5000-1,000,000Biko???
Wezi wakubwa na matapeli mmenidhulumu buku??Washenzzi wakubwa sana.nguvu ya 1000 leo waweza dondoka na ushindi mnono jumatano hii milion 20 zinakungoja na selfie na kajala kazi kwenu zamu hii inabaki dar tena milion hizo....
Biko ni matapeli na mimi wamenitapelinguvu ya 1000 leo waweza dondoka na ushindi mnono jumatano hii milion 20 zinakungoja na selfie na kajala kazi kwenu zamu hii inabaki dar tena milion hizo....
Wajinga sana wameniliza buku jamaa ni noma sana wezi matapeli.Hawa jamaa sitaki hata kuwasikikia