Tuendako hali inatisha. Sasa maharage yanakimbilia kilo moja elfu 4 (4,000)

Watu mnakejeli tu huu uzi , ni kweli kabisa wanaoishi vijijini ndio wanatambua hali jinsi ilivyo ngumu, ukichanganya na haya matozo yasiyokuwa na kichwa wala miguu yaani moto unawaka kweli kweli, kwa mnaoshinda kwenye viyoyozi na kulipwa miposho isiyoeleweka lazima mlete kejeli tu na dharau, vyakula sio vimepanda tu bei havishikiki.
Vijijini na wenyewe wanalia njaa Mkuu?
 
Mnapoambiwa mzae kidogo mnaiambia serikali na kutukana mabeberu eti mnatafuta soko la ndani.

Wenye familia ndogo hata hawawaz kuhusu msosi,

Endeleeni kuleta vibarua duniani.
Mhuuu! Mkuu, hii sio kwa wenye familia kubwa TU. Hata kama mko ( 4 ) ndani ya nyumba wewe na mama chanja + mtoto na msaidizi, kwa ongezeko la hizi Bei mtaonja joto la jiwe.

Kikubwa TU tupambane kuongeza kipato.

Hii Khali inawea kuendelea. Hivi Njombe Ndoo ya viazi ni 16000tsh na jua ni Kari vimito vimekauka viazi vya mabondeni havitositawi.

Karagwe,Ngara, Muleba, Izimbya , wanakua na msimu wa maharagwe kuanzia Desember, huko Nako mvua imekataa. Majirani wetu wana ukame misimu 3 mfurulizo na Bado inatabiliwa kua unaendelea kwa mwaka 1 mbere .

Khali Maya kuliko unavyo his wewe.

Hii inawa athiri wenye vipato Duni.
 
Jana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.

Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari.

Vitu vyote vimekuwa juu mno,kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.

Ukienda sokon unaweza kuzimia,maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme ,viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.

Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.

Note,nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
Nunua Robo
 
Hali ni mbaya japo serikali haitaki kukiri. Hakuna unafuu, hata mikoa inayozalisha chakula vyakula vimekua aghali kama Dar es salaam. Emergency exist inatakiwa kukabiliana na hili balaa. Ni wakati sasa tume ya umwagiliaji ya taifa, wizara na wadau kuja na majawabu suluhu ya kutegemea mvua.
 
Jana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.

Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari.

Vitu vyote vimekuwa juu mno,kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.

Ukienda sokon unaweza kuzimia,maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme ,viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.

Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.

Note,nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
Hao wakulima wajenge kwa mvua zipii? Labda kwa wale wanaozungukwa na mito mikubwa
 
Huyu mother nchi imemshinda.kila kitu bei juu na hakuna hatua yeyote inayochukuliwa zaidi ya kuongeza tena tozo kwa wananchi.
Shida imeanzia mbari. 2010 Rais Kikwete aliingiza Mahindi sokoni , hifadhi ya taifa ya chakula, Tena mahindi yale mengi yalitolewa kwa wenye viwanda vya kusaga vikubwa na kuelekeza Bei.

Kwa kiasi kikubwa Ili leta nafuu kwa mwananchi.

Kumbuka uwezo wa hifadhi ya taifa kipindi ilikua 200,000T kwa mwaka 2005 kufika 2015 ilikua 400,000,T nahaokua ya biashara . Baada ya hapo niwakala wa chakula sio hifazi Tena .Tani za mahindi alizo acha KiKwete ziliuzwa Zimbambwe 2017 na baada yahapo bodi yamazao mchanganyiko ilinunua mtama kwa maeneo unako sitawi na mpunga kwa baazi ya maeneo. Tayali tulisha poteza akiba ya nafaka mhim.

Mother alifanikiwa Kununua mahindi msimu ulio.
Msimu huu Sina hakika kama amenunua japo Bado sitoo Zima mzigo. Anasikilizia kuona Khali inaendaje watu wasije kufa kwa njaa.
 
Jana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.

Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari. Vitu vyote vimekuwa juu mno, kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.

Ukienda sokoni unaweza kuzimia, maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme, viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.

Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.

Note, nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
BEI IMEKUWA NZURI KWELI HAKIKA KILIMO SASA NI DILI TWENDENI TUKALIME TUJE KUFAIDI BEI HII NZURI AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA.
N. B, badala ya kukiwahi kilimo, tufaidi tunalalama.
 
Ukilima kipindi hiki inakula kwako. Issue ni kuwa na mtaji alafu kununua kidogokidogo kwa wanaolima.

Wengi hawapati kitu kwa kuwa Hali ya hewa sio nzuri.

Sasa hivi kwa ekari kutoa hata gunia 5 tu imekua mtihani.
 
Jana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.

Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari. Vitu vyote vimekuwa juu mno, kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.

Ukienda sokoni unaweza kuzimia, maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme, viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.

Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.

Note, nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
Na Bado Mtanikumbuka.
Hali ikiwa mbaya ataenda zake Oman
 
Badala ya kulia lia wewe toka mjini nenda kijijini kalime
 
Back
Top Bottom