UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Sasa kila mtu akiwa mkulima nani atawatibu wenzie? Nani atasomesha watoto wako?Badala ya kulia lia wewe toka mjini nenda kijijini kalime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kila mtu akiwa mkulima nani atawatibu wenzie? Nani atasomesha watoto wako?Badala ya kulia lia wewe toka mjini nenda kijijini kalime
Kama unajua hilo basi nunua msosi Kwa bei za wakulima..Sasa kila mtu akiwa mkulima nani atawatibu wenzie? Nani atasomesha watoto wako?
Ndio nimekwambia hatuwezi wote tukawa wakulima tunategemeana, ni sawa na wewe uzungumzie ubovu wa elimu au gharama kubwa za ada za shule halafu et suluhisho uwaambiwe ukawe mwalimu ili ufundishe vizuri na kwa ada nafuu au ukizungumzia gharama kubwa za matibabu uwambiwie ukawe daktari.Kama unajua hilo basi nunua msosi Kwa bei za wakulima..
Au acha Kazi yako kawe mkulima Ili utuuzie Kwa bei ya chini,hakuna shida mbona.
Mnalalamika si muache hizo Kazi zenu mkawe wakulima? Afu hapo mtakapoacha watafanya wengine ko ile ya hamuwez wote kuwa wakulima itakuwa inaendelea..Ndio nimekwambia hatuwezi wote tukawa wakulima tunategemeana, ni sawa na wewe uzungumzie ubovu wa elimu au gharama kubwa za ada za shule halafu et suluhisho uwaambiwe ukawe mwalimu ili ufundishe vizuri na kwa ada nafuu au ukizungumzia gharama kubwa za matibabu uwambiwie ukawe daktari.
Kuna shule za serikali, kuna hospitali za serikali ukienda private ukalalamika bei ipo juu unaonekana kichaa. Hakuna duka la serikali la kuuza maharage. Nadhani picha umeipata ni kwann kilimo kinatakiwa kiangaliwe kwa jicho la kipekee ili mazao yawepo bei ziwe za kawaida na si kutaka serikali ishushe bei kwa lazima.Ndio nimekwambia hatuwezi wote tukawa wakulima tunategemeana, ni sawa na wewe uzungumzie ubovu wa elimu au gharama kubwa za ada za shule halafu et suluhisho uwaambiwe ukawe mwalimu ili ufundishe vizuri na kwa ada nafuu au ukizungumzia gharama kubwa za matibabu uwambiwie ukawe daktari.
Jana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.
Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari. Vitu vyote vimekuwa juu mno, kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.
Ukienda sokoni unaweza kuzimia, maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme, viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.
Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.
Note, nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
Kwani uliingia kwenye kilimo ili uuze bei kubwa?Mnalalamika si muache hizo Kazi zenu mkawe wakulima? Afu hapo mtakapoacha watafanya wengine ko ile ya hamuwez wote kuwa wakulima itakuwa inaendelea..
Acheni hapo mkalime,unataka nani akulimie na wewe ununue Bei ndogo?
Acha kukariri.....unaweza kununua njegers, choroko, mchicha,Kambare vyote hivyo bajeti yake haizidi 10,000Jana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.
Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari. Vitu vyote vimekuwa juu mno, kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.
Ukienda sokoni unaweza kuzimia, maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme, viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.
Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.
Note, nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
Madalali, bodaboda, makondakta, misheni town, machinga wa kutembeza vitu mtaani wote hawa kulima hawataki ila huwapenda kweli viongozi wanaowakandamiza wakulima kwa kulazimisha bei iwe chini ili washibe.Mnalalamika si muache hizo Kazi zenu mkawe wakulima? Afu hapo mtakapoacha watafanya wengine ko ile ya hamuwez wote kuwa wakulima itakuwa inaendelea..
Acheni hapo mkalime,unataka nani akulimie na wewe ununue Bei ndogo?
Kilimo ni biashara.Kwani uliingia kwenye kilimo ili uuze bei kubwa?
Na Ili kilimo kiwe na maana Serikali isiingilie soko kama wapuuzi wachache wanavyotaka..Kilimo kinalipa sana, serikali ikiwekeza kwenye umwagiliaji na upatikanaji wa madawa kwa urahisi itasaidia sana ajira.
Ni wapuuzi Sana ,Hawa Wana misuse nguvu Kazi zao Kwa expenses za wakulima..Madalali, bodaboda, makondakta, misheni town, machinga wa kutembeza vitu mtaani wote hawa kulima hawataki ila huwapenda kweli viongozi wanaowakandamiza wakulima kwa kulazimisha bei iwe chini ili washibe.
Upo sawa mkuu,Kilimo ni biashara, biashara inayolipa hufanywa na wengi na mwisho supply inakuwa kubwa bei inashuka automatic halafu baadhi wanaikimbia hiyo biashara kisha supply inashuka kidogo bei inaenda kwenye equilibrium.Na Ili kilimo kiwe na maana Serikali isiingilie soko kama wapuuzi wachache wanavyotaka..
Tena mnafu unakupatia na nyanya KabisaNunua yale madude ya cement ya kupandia maua. Badala ya maua panda nyanya chungu, hoho, mnafu, pilipili, na mboga zingine. Kama una eneo kubwa panda mti wa kisamvu. Nyanya chungu, tunda na majani yake vyote mboga. Mti wa kisamvu ukiumwagilia ni mboga siku zote. Jiongeze.
Ni nyinyi ndio mnaokuja na hizo kauli za kuwaambia wengine nao wawe wakulima ila watu wao wanalalamika gharama na kwamba ni suala ambalo linatakiwa kuangaliwa, hata huko shule za private na hospitali za serikali watu huwa wanalalamika ila ajabu huku kwengine ukilalamika ndio zinakuja kauli za ajaajabu et nawe kawe mkulima.Kuna shule za serikali, kuna hospitali za serikali ukienda private ukalalamika bei ipo juu unaonekana kichaa. Hakuna duka la serikali la kuuza maharage. Nadhani picha umeipata ni kwann kilimo kinatakiwa kiangaliwe kwa jicho la kipekee ili mazao yawepo bei ziwe za kawaida na si kutaka serikali ishushe bei kwa lazima.
Angalieni na topic za kuleta mzahaWatu wanabidi kula mchicha kwa wingi
Maharage sio mazuri zaidi kujamba kwa wingi
Baada ya kuuza gunia bei elfu 23, niliachana na shamba 2018Shida yenu mnatudharau sana wakulima na mnataka tuwauzie kwa bei chee😀
Inawezekana kuwa mkulima kwa ajili ya familia yako tu na wapo wanaofanya.Ni nyinyi ndio mnaokuja na hizo kauli za kuwaambia wengine nao wawe wakulima ila watu wao wanalalamika gharama na kwamba ni suala ambalo linatakiwa kuangaliwa, hata huko shule za private na hospitali za serikali watu huwa wanalalamika ila ajabu huku kwengine ukilalamika ndio zinakuja kauli za ajaajabu et nawe kawe mkulima.