DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Vijijini na wenyewe wanalia njaa Mkuu?Watu mnakejeli tu huu uzi , ni kweli kabisa wanaoishi vijijini ndio wanatambua hali jinsi ilivyo ngumu, ukichanganya na haya matozo yasiyokuwa na kichwa wala miguu yaani moto unawaka kweli kweli, kwa mnaoshinda kwenye viyoyozi na kulipwa miposho isiyoeleweka lazima mlete kejeli tu na dharau, vyakula sio vimepanda tu bei havishikiki.
Mhuuu! Mkuu, hii sio kwa wenye familia kubwa TU. Hata kama mko ( 4 ) ndani ya nyumba wewe na mama chanja + mtoto na msaidizi, kwa ongezeko la hizi Bei mtaonja joto la jiwe.Mnapoambiwa mzae kidogo mnaiambia serikali na kutukana mabeberu eti mnatafuta soko la ndani.
Wenye familia ndogo hata hawawaz kuhusu msosi,
Endeleeni kuleta vibarua duniani.
Wakulima walime basi au wamechoka?
Nunua RoboJana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.
Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari.
Vitu vyote vimekuwa juu mno,kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.
Ukienda sokon unaweza kuzimia,maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme ,viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.
Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.
Note,nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
Hao wakulima wajenge kwa mvua zipii? Labda kwa wale wanaozungukwa na mito mikubwaJana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.
Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari.
Vitu vyote vimekuwa juu mno,kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.
Ukienda sokon unaweza kuzimia,maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme ,viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.
Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.
Note,nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
Shida imeanzia mbari. 2010 Rais Kikwete aliingiza Mahindi sokoni , hifadhi ya taifa ya chakula, Tena mahindi yale mengi yalitolewa kwa wenye viwanda vya kusaga vikubwa na kuelekeza Bei.Huyu mother nchi imemshinda.kila kitu bei juu na hakuna hatua yeyote inayochukuliwa zaidi ya kuongeza tena tozo kwa wananchi.
[emoji2][emoji2][emoji2]Mnapoambiwa mzae kidogo mnaiambia serikali na kutukana mabeberu eti mnatafuta soko la ndani.
Wenye familia ndogo hata hawawaz kuhusu msosi,
Endeleeni kuleta vibarua duniani.
BEI IMEKUWA NZURI KWELI HAKIKA KILIMO SASA NI DILI TWENDENI TUKALIME TUJE KUFAIDI BEI HII NZURI AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA.Jana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.
Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari. Vitu vyote vimekuwa juu mno, kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.
Ukienda sokoni unaweza kuzimia, maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme, viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.
Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.
Note, nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
Wewe ni mwenye hekima!Natafuta heka kumi na mimi nianze kulima mahindi,maharage na viazi.
Tena kilimo cha kumwagilia usisubiri tu mvuaNatafuta heka kumi na mimi nianze kulima mahindi,maharage na viazi.
Ukilima imekula kwako. Kuwa dalali wa kilimoNatafuta heka kumi na mimi nianze kulima mahindi,maharage na viazi.
Ukilima kipindi hiki inakula kwako. Issue ni kuwa na mtaji alafu kununua kidogokidogo kwa wanaolima.BEI IMEKUWA NZURI KWELI HAKIKA KILIMO SASA NI DILI TWENDENI TUKALIME TUJE KUFAIDI BEI HII NZURI AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA.
N. B, badala ya kukiwahi kilimo, tufaidi tunalalama.
Na Bado Mtanikumbuka.Jana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.
Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari. Vitu vyote vimekuwa juu mno, kama unaishi kwenu huwezi kulijua hili.
Ukienda sokoni unaweza kuzimia, maana nazi nzuri inaanza 1,400 mihogo ndio usiseme, viazi vitamu ndio usiulize hata bei mana ndoo ndogo ilikuwa elfu 5 hadi 7 sasa hivi ni elfu 12.
Hii nchi tunapoenda tutauana kwa njaa, watu hawashibi ndio maana wana kuwa na stress za hapa na pale.
Note, nadhani wakulima mwaka huu watajenga maghorofa kama madalali sio wanaopandisha bei.
Badala ya kulia lia wewe toka mjini nenda kijijini kalimeJana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.