Tuendelee kukumbushana kila siku kuwa Wazungu hawana cha bure

Tuendelee kukumbushana kila siku kuwa Wazungu hawana cha bure

Kwa hiyo unataka kusema nini mkuu?

Kwamba hata hiyo chanjo si ya bure kama wanavotuambia?
 
Kila unapokutana na wazungu usisahau kujikumbusha na kuwakumbusha kuwa wazungu hawana kitu cha bure kwao "No free lunch"

Kila mara utakapoona dili lao kwako ni zuri sana usiache kufikiria mara mbilimbili kabla ya kujiingiza.
Ukiona unaitiwa fursa..tambua hiyo fursa ni wewe
 
Kuna wakat inabd uangalie maisha yako na si Taifa , mwendazake alifaidika nn Kwa kuwatukana wazungu ? Zaid ya yote aliishia kuwakopa tillion of money, huku watu wakiwa na Hali ngumu pamoja na was was mkuu...!! Mnataka mama aingie kwenye fatal Ile Ile ....kipind cha jiwe watu wengi wamekufa bila tumaini kabisa huku tukiahdiwa Tanzania hewa ....ukitaka Kula lazima uliwe
 
Back
Top Bottom