Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
.Binafsi nafarijika kuona nyuzi za ukosoaji wa serikali yetu kwani mitandao ndo kisemeo chetu wanyonge.
.nami niengeze sauti yangu kwa wakosoaji kama ifuatavyo
1. Wengi wanaonyesha kukerwa na sauti iliyokosa mamlaka pindi yanapobainika makosa mahala kwani mara nyingi tumeshazoeshwa kwa kuambiwa kuwa tutaliangalia hili, oooh tutaona la kufanya nk.
2. Nami ninakuwa agitated ninapozisikia kauli kama hizi mfano kwa position yake mkuu wa nchi ni kosa la karne .kwa mfano kwenye mradi kuonyesha assumption na kubariki wizi usioathiri ubora wa mradi. Nilikuwa shocked pale mama alipozindua mradi wa jengo mbeya ,na kusema hata kama mkuu wa mkoa kafanya manoeuvre kwenye mchakato alikuwa happy kwani haijaathiri ubora wa mradi. What a statement ? Mama anapaswa ku promote 100% cleanliness ya watu aliowaamini kutuhudumia kwani tunawalipa na hawajitolei hadi waibe kwenye miradi yetu.
3. Kuna mambo mengi serikali iko vizuri , mfano ku promote kilimo , kitoa pesa za miradi, kutowanyanyasa opposition nk ila bila kupepesa macho watu wengi hawana imani na usimamizi bora wa pesa ambazo nyingi tutazilipa wenyewe kwa kodi zetu.
4. Sisi wananchi mikataba ya kimya kimya hatuitaki kwani tunao uzoefu wa miaka mingi wa kuingizwa chaka, mikataba ya mh Makamba LNG , sijui upepo na ya kule uarabuni bado hatuko comfortable nayo ukilinganisha na Tembo nickel, bomba la mafuta etc ambayo tuliambiwa kilichomo kwani hata huko mbele si rahisi kulaumiana in case anything goes wrong in future.
Naamini serikali inatusikiliza wadau ndo maana imeonyesha kuwa makini kule bagamoyo na kwa ndugu zetu wamasai. Na naiagiza isinune maana kazi yetu ni kuieleza ya kwetu na kisemeo chetu ndo hiki na kazi yetu si kuiimbia mapambio bali kuikosoa tunapoona haiko.sawa.