Tuendelee kumkosoa Mama yetu kwa staha. Binafsi naamini anatusikia

Kama sauti imekosa mamlaka wewe akiongea tuu msitekeleze ndio mtajua ina mamlaka au haina..

Alishaongea mara nyingi hana mda wa kufokea watu wazima na alishasema mara kadhaa kwamba Kuna wanaume walitaka wajue rangi yake na akawaonyesha..

Subirieni mataahira wengine waje kudhalilisha wenzao ndio mkate viumo ila hilo halitatokea kwa SSH..

Mwisho hadi dakika hii keshawafunika wenye kende wazee wa legacy.
Anarangi gani mpuuzi moja tu huyo empty mind in her head.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
.Binafsi nafarijika kuona nyuzi za ukosoaji wa serikali yetu kwani mitandao ndo kisemeo chetu wanyonge.
.nami niengeze sauti yangu kwa wakosoaji kama ifuatavyo

1. Wengi wanaonyesha kukerwa na sauti iliyokosa mamlaka pindi yanapobainika makosa mahala kwani mara nyingi tumeshazoeshwa kwa kuambiwa kuwa tutaliangalia hili, oooh tutaona la kufanya nk.

2. Nami ninakuwa agitated ninapozisikia kauli kama hizi mfano kwa position yake mkuu wa nchi ni kosa la karne .kwa mfano kwenye mradi kuonyesha assumption na kubariki wizi usioathiri ubora wa mradi. Nilikuwa shocked pale mama alipozindua mradi wa jengo mbeya ,na kusema hata kama mkuu wa mkoa kafanya manoeuvre kwenye mchakato alikuwa happy kwani haijaathiri ubora wa mradi. What a statement ? Mama anapaswa ku promote 100% cleanliness ya watu aliowaamini kutuhudumia kwani tunawalipa na hawajitolei hadi waibe kwenye miradi yetu.

3. Kuna mambo mengi serikali iko vizuri , mfano ku promote kilimo , kitoa pesa za miradi, kutowanyanyasa opposition nk ila bila kupepesa macho watu wengi hawana imani na usimamizi bora wa pesa ambazo nyingi tutazilipa wenyewe kwa kodi zetu.

4. Sisi wananchi mikataba ya kimya kimya hatuitaki kwani tunao uzoefu wa miaka mingi wa kuingizwa chaka, mikataba ya mh Makamba LNG , sijui upepo na ya kule uarabuni bado hatuko comfortable nayo ukilinganisha na Tembo nickel, bomba la mafuta etc ambayo tuliambiwa kilichomo kwani hata huko mbele si rahisi kulaumiana in case anything goes wrong in future.

Naamini serikali inatusikiliza wadau ndo maana imeonyesha kuwa makini kule bagamoyo na kwa ndugu zetu wamasai. Na naiagiza isinune maana kazi yetu ni kuieleza ya kwetu na kisemeo chetu ndo hiki na kazi yetu si kuiimbia mapambio bali kuikosoa tunapoona haiko.sawa.
Darasani Kuna aina 3 ya wanafunzi.

1. Wenye uelewa wa JUU.

Wanafunzi aina hii, kusikiliza tu inatosha, aweza asisome bt Akawa the first Kwa mtihani.

2. Slow learners.
Huyu kuelewa kitu Hadi kirudiwe mara kadhaa. Ikibidi kukesha akisoma.

3. Zero Brain.
Wanafunzi Hawa hata akikesha Katia miguu kwenye karai lazima ashike mkia.

Kiongozi wetu ana mawaziri wawili VIJANA , 1. NISHATI 2. FEDHA. Hawa uelewa wao ni pale kati ya SLOW LEARNERS na ZERO BRAIN.

Amini usiamini, KIONGOZI wetu asipowapigia kelele sikioni mawaziri Hawa masikio HAYATOZIBUKA na kuelewa.

Akiwabembeleza Hawa lazima WAMWANGUSHE.

Ameeeen.
 
Usiniulize mimi wewe dokoa ndio utajua rangi na upuuzi wake, mapovu haya ni ushahidi tosha ushabanwa na huna cha kufanya [emoji1][emoji1]
Mm ni mwadilifu niliotukuka siwezi fanya upuuzi wa kuwaibia watanzania wenzagu.
Nyie mnaoendelea kulamba asali endeleeni.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
.Binafsi nafarijika kuona nyuzi za ukosoaji wa serikali yetu kwani mitandao ndo kisemeo chetu wanyonge.
.nami niengeze sauti yangu kwa wakosoaji kama ifuatavyo

1. Wengi wanaonyesha kukerwa na sauti iliyokosa mamlaka pindi yanapobainika makosa mahala kwani mara nyingi tumeshazoeshwa kwa kuambiwa kuwa tutaliangalia hili, oooh tutaona la kufanya nk.

2. Nami ninakuwa agitated ninapozisikia kauli kama hizi mfano kwa position yake mkuu wa nchi ni kosa la karne .kwa mfano kwenye mradi kuonyesha assumption na kubariki wizi usioathiri ubora wa mradi. Nilikuwa shocked pale mama alipozindua mradi wa jengo mbeya ,na kusema hata kama mkuu wa mkoa kafanya manoeuvre kwenye mchakato alikuwa happy kwani haijaathiri ubora wa mradi. What a statement ? Mama anapaswa ku promote 100% cleanliness ya watu aliowaamini kutuhudumia kwani tunawalipa na hawajitolei hadi waibe kwenye miradi yetu.

3. Kuna mambo mengi serikali iko vizuri , mfano ku promote kilimo , kitoa pesa za miradi, kutowanyanyasa opposition nk ila bila kupepesa macho watu wengi hawana imani na usimamizi bora wa pesa ambazo nyingi tutazilipa wenyewe kwa kodi zetu.

4. Sisi wananchi mikataba ya kimya kimya hatuitaki kwani tunao uzoefu wa miaka mingi wa kuingizwa chaka, mikataba ya mh Makamba LNG , sijui upepo na ya kule uarabuni bado hatuko comfortable nayo ukilinganisha na Tembo nickel, bomba la mafuta etc ambayo tuliambiwa kilichomo kwani hata huko mbele si rahisi kulaumiana in case anything goes wrong in future.

Naamini serikali inatusikiliza wadau ndo maana imeonyesha kuwa makini kule bagamoyo na kwa ndugu zetu wamasai. Na naiagiza isinune maana kazi yetu ni kuieleza ya kwetu na kisemeo chetu ndo hiki na kazi yetu si kuiimbia mapambio bali kuikosoa tunapoona haiko.sawa.
Kama ni msikivu kwann hawafuti KAZI Makamba na Mwigulu?

Kelele zote na malalamiko ya wananchi kwanini hasikizi?

Ukimya na kunyamazia au kupoteza mambo muhimu kunasababisha tuongeze kupaza sauti tukiamini HASIKII!!!!
 
Kabisa, mfumo wetu na katiba inahitaji rais mwenye kuelewa anataka nini toka kwa wateule wake, hasa kwenye uchumi. Mama kwenye uchumi hana waziri ila ana mfano wa waziri. Haiwezekani kabisa mfumuko wa bei uwe zaidi ya 100% halafu eti kwa sababu ya vita. Ina maana COVID-19 ingemkuta yeye angeamrisha lockdown na watu wangekufa mno. Sijui kwa nini hajifunzi kwa Dkt Mpango na Dkt Ashatu? Maana kama kuondoka kwenye mfumo ni mmoja tu Dkt Magufuli, sasa inakuwaje Rais aruhusu mfumuko wa bei kiasi hicho? Yaani Ningekuwa mi Rais Samia ningemuondoa haraka sana Dkt Mwigulu, ningemuweka Dkt Ashatu haraka.

Anaweza kumpa/ kuiweka chini ya Dr Mpango hii wizara ya fedha. Wizara ya Nishati Lukuvi au kumrudisha Kalemani.

Kama anawapenda sana Mwigulu na Makamba awape wizara nyingine. Nchi itapumua kidogo.
 
Huo ni msemo wetu sisi watanzania si lazima awe aneingia labour ndo awe mama yako unless we unaingilia tamaduni za watu
Mpe haki yake rais muite rais, kumuita mama ni kuanza ku infantilize taifa.
 
Kabisa, mfumo wetu na katiba inahitaji rais mwenye kuelewa anataka nini toka kwa wateule wake, hasa kwenye uchumi. Mama kwenye uchumi hana waziri ila ana mfano wa waziri. Haiwezekani kabisa mfumuko wa bei uwe zaidi ya 100% halafu eti kwa sababu ya vita. Ina maana COVID-19 ingemkuta yeye angeamrisha lockdown na watu wangekufa mno. Sijui kwa nini hajifunzi kwa Dkt Mpango na Dkt Ashatu? Maana kama kuondoka kwenye mfumo ni mmoja tu Dkt Magufuli, sasa inakuwaje Rais aruhusu mfumuko wa bei kiasi hicho? Yaani Ningekuwa mi Rais Samia ningemuondoa haraka sana Dkt Mwigulu, ningemuweka Dkt Ashatu haraka.
Kwa huu mfumo mbovu hata umteue Biden kuwa Waziri wa Fedha hakuna muujiza atafanya
 
Kukosoa kwa staha ndio ukosoaji gani. Tatizo lenu watu mkishashindwa maisha ni kutaka tu kujipendekeza ili mkumbukwe kwenye teuzi. Bure kabisa.
 
Tumkosoe Samia kwa staha sio kwa matusi ya nguoni.
 
Acheni watu watoe hisia zao kwa Rais wao, mbona kwa huyo aliyepita hiyo staha kwako hatujawahi kuiona.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Huyu ni Raisi wetu wa kwanza Mwanamke tufanye staha kuna waumini wa mfumo Dume wengi wamechukizwa wao hata akifanya mazuri wanatukana sana huko twita.

Magufuli hatujawahi kumtukana matusi ya nguoni zaidi ilikuwa tunajadili Betrii yake ya kwenye moyo.
 
Kama yule mzee mlitukana waziwazi huyu ni nani mpaka apate hiyo stha,au amekuwa mtoto wa jicho.
 
.Binafsi nafarijika kuona nyuzi za ukosoaji wa serikali yetu kwani mitandao ndo kisemeo chetu wanyonge.
.nami niengeze sauti yangu kwa wakosoaji kama ifuatavyo

1. Wengi wanaonyesha kukerwa na sauti iliyokosa mamlaka pindi yanapobainika makosa mahala kwani mara nyingi tumeshazoeshwa kwa kuambiwa kuwa tutaliangalia hili, oooh tutaona la kufanya nk.

2. Nami ninakuwa agitated ninapozisikia kauli kama hizi mfano kwa position yake mkuu wa nchi ni kosa la karne .kwa mfano kwenye mradi kuonyesha assumption na kubariki wizi usioathiri ubora wa mradi. Nilikuwa shocked pale mama alipozindua mradi wa jengo mbeya ,na kusema hata kama mkuu wa mkoa kafanya manoeuvre kwenye mchakato alikuwa happy kwani haijaathiri ubora wa mradi. What a statement ? Mama anapaswa ku promote 100% cleanliness ya watu aliowaamini kutuhudumia kwani tunawalipa na hawajitolei hadi waibe kwenye miradi yetu.

3. Kuna mambo mengi serikali iko vizuri , mfano ku promote kilimo , kitoa pesa za miradi, kutowanyanyasa opposition nk ila bila kupepesa macho watu wengi hawana imani na usimamizi bora wa pesa ambazo nyingi tutazilipa wenyewe kwa kodi zetu.

4. Sisi wananchi mikataba ya kimya kimya hatuitaki kwani tunao uzoefu wa miaka mingi wa kuingizwa chaka, mikataba ya mh Makamba LNG , sijui upepo na ya kule uarabuni bado hatuko comfortable nayo ukilinganisha na Tembo nickel, bomba la mafuta etc ambayo tuliambiwa kilichomo kwani hata huko mbele si rahisi kulaumiana in case anything goes wrong in future.

Naamini serikali inatusikiliza wadau ndo maana imeonyesha kuwa makini kule bagamoyo na kwa ndugu zetu wamasai. Na naiagiza isinune maana kazi yetu ni kuieleza ya kwetu na kisemeo chetu ndo hiki na kazi yetu si kuiimbia mapambio bali kuikosoa tunapoona haiko.sawa.
Nimeona malengo mazuri sana ya serikali ya sa100 kwenye kilimo..hakika yakitekerezwa ipasavyo watanzania wataenjoy mana ndio secta inayogusa wananchi wengi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Umenena !! Mama aelewe wanaokosoa kwa staha ndio wanaomsaidia sio wale wanaomwimbia mapambio !! Ni sahihi Mheshimiwa Rais kujionyesha kwamba yeye ni muungwana lakini anatakiwa pia aonyeshe kwamba yeye ni mkali sana linapokuja suala la ubadhirifu au wizi wa mali za Umma !!
Yeye mwenyewe ni mtu wa mapambio na vijembe kwanini yeye aonewe huruma!??
 
Anaweza kumpa/ kuiweka chini ya Dr Mpango hii wizara ya fedha. Wizara ya Nishati Lukuvi au kumrudisha Kalemani.

Kama anawapenda sana Mwigulu na Makamba awape wizara nyingine. Nchi itapumua kidogo.
God bless you na tena akiatamie
 
Back
Top Bottom