Tuendelee kumkosoa Mama yetu kwa staha. Binafsi naamini anatusikia

Tuendelee kumkosoa Mama yetu kwa staha. Binafsi naamini anatusikia

Hujaona cha kukusoa basi huna cha kushauri pia

Ushauri unatoka pale kwenye udhaifu. Sasa kama unaona yuko perfect ushauri unautoa wapi?
Hata kumtaka mtu aboreshe jambo analolifanya nikushauri sio kumkosoa .kwa hiyo tutofautishe kumkosoa na kushauri.
 
.Binafsi nafarijika kuona nyuzi za ukosoaji wa serikali yetu kwani mitandao ndo kisemeo chetu wanyonge.
.nami niengeze sauti yangu kwa wakosoaji kama ifuatavyo

1. Wengi wanaonyesha kukerwa na sauti iliyokosa mamlaka pindi yanapobainika makosa mahala kwani mara nyingi tumeshazoeshwa kwa kuambiwa kuwa tutaliangalia hili, oooh tutaona la kufanya nk.

2. Nami ninakuwa agitated ninapozisikia kauli kama hizi mfano kwa position yake mkuu wa nchi ni kosa la karne .kwa mfano kwenye mradi kuonyesha assumption na kubariki wizi usioathiri ubora wa mradi. Nilikuwa shocked pale mama alipozindua mradi wa jengo mbeya ,na kusema hata kama mkuu wa mkoa kafanya manoeuvre kwenye mchakato alikuwa happy kwani haijaathiri ubora wa mradi. What a statement ? Mama anapaswa ku promote 100% cleanliness ya watu aliowaamini kutuhudumia kwani tunawalipa na hawajitolei hadi waibe kwenye miradi yetu.

3. Kuna mambo mengi serikali iko vizuri , mfano ku promote kilimo , kitoa pesa za miradi, kutowanyanyasa opposition nk ila bila kupepesa macho watu wengi hawana imani na usimamizi bora wa pesa ambazo nyingi tutazilipa wenyewe kwa kodi zetu.

4. Sisi wananchi mikataba ya kimya kimya hatuitaki kwani tunao uzoefu wa miaka mingi wa kuingizwa chaka, mikataba ya mh Makamba LNG , sijui upepo na ya kule uarabuni bado hatuko comfortable nayo ukilinganisha na Tembo nickel, bomba la mafuta etc ambayo tuliambiwa kilichomo kwani hata huko mbele si rahisi kulaumiana in case anything goes wrong in future.

Naamini serikali inatusikiliza wadau ndo maana imeonyesha kuwa makini kule bagamoyo na kwa ndugu zetu wamasai. Na naiagiza isinune maana kazi yetu ni kuieleza ya kwetu na kisemeo chetu ndo hiki na kazi yetu si kuiimbia mapambio bali kuikosoa tunapoona haiko.sawa.
Wewe chawa kukosoa kwa staha ndo kitu gani? Mda mwingine muwe mnanyamaza tu! Wakati wa Magufuli si kila siku mlikuwa mnatukana hapa mpaka leo bado mnatukana!
 
Lucas mwashambwa Hivi ndo wana ccm og huwa wanapost,ww bado unaishi zama za magu za kudhan wapinzani ni adui zetu .watu hawana jeshi wanazuiaje juhudi za mama ???? Sasa hivi ccm inafanya siasa z kisayansi kujikosoa kila siku kurudisha imani aliyotupotlezea mwendazake na magenge yake ,Mama sasa hivi yupo vikao vya usuluhishi na vyama vya upinzani ,hata kupoa kwao Sugu alijibu ni Mama kaonesha nia isiyo shaka .Leo mama anahudhuria tamasha la sugu,anamwalika mbowe na wanacheka kama watanzania ,ww from no where unaturudisha kutekana,kuua watu wenye maoni tofauti na sisi, kaka hakuna nchi duniani iliwahi endelea bila upinzani imara .Ili kuwa madarakani

1.Ccm izifanyie kazi report za can kwa ukali haraka iliwemo kupeleka watu mahakamani
2.isimamie pesa za maendeleo vyema
3.Iongeze matumizi bora ya fedha za umma
-iangalie uwezekano wa kupunguza matumizi ya ununuzi magari
-iboreshe mifumo ya tecnohama vikao vya mkuu wa wilaya mfano kibondo na mkuu wa mkoa kigoma cruiser 3 zinatembea Km 400 posho si chini ya mil 3 .wakati wakifanya conference meeting inahitajika bando la elfu 30 tu kikao cha siku nzima .
-Nafasi za kisiasa kupinguziwa Mapato hii itapelekea kuwatoa kujioendekeza na kugombanisha ,kufitinisha siasa na wanasiasa kupata teuzi ,maana kilimo kitaonekana kinalipa kuliko ubunge .mtu ni Dr Bingwa muhimbili analipwa mil 3 afu mtu mtoto wa mjini anavihela vya kuuza unga ameishia la saba anahonga anakuwa mbunge analipwa mil8 .Dr anafanya operation ya moyo siku nzima halipwi posho na amepanga mwenyewe.mbunge anapewa nyumba maji umeme na ulinzi bure kwa kwenda bungen masaa machache anapewa 300k
 
Lucas asipokuelewa na wewe, hatokuja aelewe kamwe😃😃
 
Back
Top Bottom