Tuendelee kumkosoa Mama yetu kwa staha. Binafsi naamini anatusikia

Anarangi gani mpuuzi moja tu huyo empty mind in her head.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Darasani Kuna aina 3 ya wanafunzi.

1. Wenye uelewa wa JUU.

Wanafunzi aina hii, kusikiliza tu inatosha, aweza asisome bt Akawa the first Kwa mtihani.

2. Slow learners.
Huyu kuelewa kitu Hadi kirudiwe mara kadhaa. Ikibidi kukesha akisoma.

3. Zero Brain.
Wanafunzi Hawa hata akikesha Katia miguu kwenye karai lazima ashike mkia.

Kiongozi wetu ana mawaziri wawili VIJANA , 1. NISHATI 2. FEDHA. Hawa uelewa wao ni pale kati ya SLOW LEARNERS na ZERO BRAIN.

Amini usiamini, KIONGOZI wetu asipowapigia kelele sikioni mawaziri Hawa masikio HAYATOZIBUKA na kuelewa.

Akiwabembeleza Hawa lazima WAMWANGUSHE.

Ameeeen.
 
Usiniulize mimi wewe dokoa ndio utajua rangi na upuuzi wake, mapovu haya ni ushahidi tosha ushabanwa na huna cha kufanya [emoji1][emoji1]
Mm ni mwadilifu niliotukuka siwezi fanya upuuzi wa kuwaibia watanzania wenzagu.
Nyie mnaoendelea kulamba asali endeleeni.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kama ni msikivu kwann hawafuti KAZI Makamba na Mwigulu?

Kelele zote na malalamiko ya wananchi kwanini hasikizi?

Ukimya na kunyamazia au kupoteza mambo muhimu kunasababisha tuongeze kupaza sauti tukiamini HASIKII!!!!
 

Anaweza kumpa/ kuiweka chini ya Dr Mpango hii wizara ya fedha. Wizara ya Nishati Lukuvi au kumrudisha Kalemani.

Kama anawapenda sana Mwigulu na Makamba awape wizara nyingine. Nchi itapumua kidogo.
 
Huo ni msemo wetu sisi watanzania si lazima awe aneingia labour ndo awe mama yako unless we unaingilia tamaduni za watu
Mpe haki yake rais muite rais, kumuita mama ni kuanza ku infantilize taifa.
 
Kwa huu mfumo mbovu hata umteue Biden kuwa Waziri wa Fedha hakuna muujiza atafanya
 
Kukosoa kwa staha ndio ukosoaji gani. Tatizo lenu watu mkishashindwa maisha ni kutaka tu kujipendekeza ili mkumbukwe kwenye teuzi. Bure kabisa.
 
Tumkosoe Samia kwa staha sio kwa matusi ya nguoni.
 
Acheni watu watoe hisia zao kwa Rais wao, mbona kwa huyo aliyepita hiyo staha kwako hatujawahi kuiona.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Huyu ni Raisi wetu wa kwanza Mwanamke tufanye staha kuna waumini wa mfumo Dume wengi wamechukizwa wao hata akifanya mazuri wanatukana sana huko twita.

Magufuli hatujawahi kumtukana matusi ya nguoni zaidi ilikuwa tunajadili Betrii yake ya kwenye moyo.
 
Kama yule mzee mlitukana waziwazi huyu ni nani mpaka apate hiyo stha,au amekuwa mtoto wa jicho.
 
Nimeona malengo mazuri sana ya serikali ya sa100 kwenye kilimo..hakika yakitekerezwa ipasavyo watanzania wataenjoy mana ndio secta inayogusa wananchi wengi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Yeye mwenyewe ni mtu wa mapambio na vijembe kwanini yeye aonewe huruma!??
 
Anaweza kumpa/ kuiweka chini ya Dr Mpango hii wizara ya fedha. Wizara ya Nishati Lukuvi au kumrudisha Kalemani.

Kama anawapenda sana Mwigulu na Makamba awape wizara nyingine. Nchi itapumua kidogo.
God bless you na tena akiatamie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…