Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Umekazana Hana sida ndogondogo hamia kwake basi ukaishi nae. Mwanaume mzima unabaki kusifia wanawake tu fanya kazi na wewe usiwe na shida ndondogo
Mkuu sina shida ndogo ndogo ila acha wivu wa kiseee mpaka mtoto wa kike unamwonea wivu?
 
Reactions: BRN
Hana mvuto wwte ni jeupe jeupe tu
 
Mbona wa kawaida sana tu ...
Huyu hata wife wangu anampiga chini mala 100
Bure kabisa
Mkuu huyo "wife" wako ako na hivyo vigezo vya elimu na assets pia? Hapo ndipo panakomoa wadada wengi. Wadada wako wengi sana warembo kupindukia lakini bongo lala ama hawakufanikiwa kwenda oxfodi.
 
Kwaio mnataka kusema huko mtaani kwenu wamejaa mademu kama Tuerny???

Aaah mazee acheni zenu demu mkali uyo bana!
 
Huyu hela yako kumla
Naona anajinadi kujifanya
Expensive,sjui kunitoa out
Gharama blhblh
Kmbe ndiyo anajivutia uzi
Soko lake

Ova
 
MBONA TUERNY haya asante chawa wa Tuerny kwa habari
 
Huyu hela yako kumla
Naona anajinadi kujifanya
Expensive,sjui kunitoa out
Gharama blhblh
Kmbe ndiyo anajivutia uzi
Soko lake

Ova
Tuerny na sanchoka na watu wawili tofauti!
 
Duh ok
Wamefanana

Maana nlishanga,sanchoka naona muda amekuwa hajiweki mitandaoni
Sjui kpata mme teh teh

Ova
Ndio ana mume kaolewa saiv ni mchaga wa Kilimanjaro
 
Uzi mzurii..ahsante Mkuu Poker kwa taarifa..ubarikiwe
 
Mkuu Poker ongezea picha zake naona wadau hawajamuona vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…