Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Hahahaha,eti hana shida ndogo ndogo,kwahiyo unataka kuwaambia nini wale wanaume wenye uchumi wa kati...
 
tutumie picha yake bila make up
 
Acha kupotosha watu huyu mtoto anakua tunamuona tulibahatika kula mbususu mapema akiwa bado hajaingia kwenye soko huru,mtoto wa magomeni huyu English yenyewe kajifunzia kwenye series na movies hakuna cha CPA wala Masters ata ya chini ya mti lakini yuko smart sana kichwani anauwezo wakucaught up vitu haraka ndio sifa yake kuu.
 
yaani wewe mleta uzi ni bonge la fala kweli kweli, yaani umeamini kabisa hicho ki 'jarida' cha Nigeria kikuchagulie mrembo wa ki Tanzania badala ya hata wewe mwenyewe kuchagua ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…