Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!
View attachment 2194947
View attachment 2194948
View attachment 2194949
wa kawaida sana.anazidiwa na wengiMbona wa kawaida sana tu ...
Huyu hata wife wangu anampiga chini mala 100
Bure kabisa
Malaya ni mwanamke anayebadili wanaume kila siku.Mkuu Tuerny hana shida ndogo ndogo!
Nilijua hanyi!Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!
View attachment 2194947
View attachment 2194948
View attachment 2194949
Are you her agent ?Mkuu kafuatilie vizuri ndio utajua Tuerny is damn rich!
Hahahaha yaani Tanzania standard za uzuri ni matako. Kamtu kenyewe kafupi, tipwa tipwa, yaani hafai kuwa mzuri kabisa. Ana kitambi etcJarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!
View attachment 2194947
View attachment 2194948
View attachment 2194949
Hana shape huyo, Ulaya hiyo hata mume hawezi kupata kwa sababu huo unene ni wa kizembe kiasi kwamba yupo likely kupata magonjwa kama presha sukari hivyo hakuna mwanaume atakaye kuwa tayari kuoa mzigo wa mtu aliyejiachia kunenepa hivyo. Nenda Ethiopia utakuta wasichana au hata South Sudan unakutana na msichana mrefu, mwili wa kawaida na tako la kawaida very very beautiful siyo hili li minyama uzembe eti ni mzuri, anahamasisha ujinga wa wasichana kutumia dawa za kunenepesha makalio na kufanya operations ya makalio, hate sana hivyo vituWivu utakuua kisa kakuzidi uzuri na shape!
Acheni zenu bwana mwanamke mrembo huyoUzuri/Mvuto wa mtu upo machoni kwa mtu. Usilazimishe wote tuamini ivo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kichwa kikubwa kama dume la siafu ,hizo elimi Cha kuiba mtihani shenzi mafilter kibao mtu mfupi kama chupa yoghurt za asas
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unyonya? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]