Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Huo
mvuto kwa mwanaume wa aina gani..
Maana mm navyo muona nikikutana nae njiani sina hata tme ya kumugeukia
 
Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!

View attachment 2194947

View attachment 2194948

View attachment 2194949

Tumepigwa
 
Hivi Kama huyu atasema mwanaume pesa kweli jamani.si atataka kuwa na me ambaye ama hisia naye ama ataangalia pesa halafu upendo baadaye. Ila dada tafuteni hela acheni kujiuza kwa kisingizio kuwa pesa kwanza
 
Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!

View attachment 2194947

View attachment 2194948

View attachment 2194949
Nilijua hanyi!
 
Kuna demu yupo hall 7 ni sijui kashamaliza! ndio mzuri kwangu wakati wote. Kuna wakati fulani alikuwa kwenye mabango. Au mnasemaje wanangu wa jalalani?
 
Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!

View attachment 2194947

View attachment 2194948

View attachment 2194949
Hahahaha yaani Tanzania standard za uzuri ni matako. Kamtu kenyewe kafupi, tipwa tipwa, yaani hafai kuwa mzuri kabisa. Ana kitambi etc
 
Wivu utakuua kisa kakuzidi uzuri na shape!
 
Hana shape huyo, Ulaya hiyo hata mume hawezi kupata kwa sababu huo unene ni wa kizembe kiasi kwamba yupo likely kupata magonjwa kama presha sukari hivyo hakuna mwanaume atakaye kuwa tayari kuoa mzigo wa mtu aliyejiachia kunenepa hivyo. Nenda Ethiopia utakuta wasichana au hata South Sudan unakutana na msichana mrefu, mwili wa kawaida na tako la kawaida very very beautiful siyo hili li minyama uzembe eti ni mzuri, anahamasisha ujinga wa wasichana kutumia dawa za kunenepesha makalio na kufanya operations ya makalio, hate sana hivyo vitu
 
Back
Top Bottom