Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!