Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Tuerny atajwa kama mwanamke mwenye mvuto zaidi Tanzania!

Jarida kubwa huko Nigeria limemtaja Tuerny kama mwanamke mwenye mvuto zaidi nchini Tanzania na kwa africa akiwa namba 7 yaani yupo top 10. Hivo kwa sasa mrembo mwenye mvuto na muonekano wake TZ kwa sasa ni Tuerny hilo halina ubishi ukibisha utakuwa mchawi! Tuerny ana masters ya Accounting pamoja na CPA alipata huko oxford UINGEREZA. Vigezo vilivotumika ni elimu, umbo la sura, umbo la mwili, assets alizonazo na demand ya soko kwa sasa! N.B tuerny ana miliki kampuni ya madini akishirikiana na wasouth africa wawili, pia anajishughulisha na stock market! Anamiliki nyumba 3 moja ikiwa masaki dar. Pia ni philanthropist mzuri akiwa ameshatoa misaada ya takribani milioni 500 za kitanzania! Hana shida ndogo ndogo!

View attachment 2194947

View attachment 2194948

View attachment 2194949
Mvuto wa tako sio...

Basi sawa
 
Anaingia mara ngapi kwa hii pisi ya uswahilini?
JamiiForums1648682908.jpg

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Njoo Mbulu Mkuu, alosoma sana ana form four, ila ni wazuri kuliko vibaya kuliko uyo.
 
kuna vikuku vya kienyeji uswazi ni 🔥🔥🔥 vimeishia tu la nne C vinachoma mihogo, ukivipiga matunzo ni hatari
 
Ili uwe na mvuto n lazma ukae uchi 😳, aki mengi yanashangaza.
 
Ili uwe na mvuto n lazma ukae uchi 😳, aki mengi yanashangaza.
Wanamke hawajui hakuna kitu kinachompa value zaidi kama kuvaa nguo zenye kuficha na kusitiri maungo yake mbele ya mwanaume anae jitambua au real man
 
Wanamke hawajui hakuna kitu kinachompa value zaidi kama kuvaa nguo zenye kuficha na kusitiri maungo yake mbele ya mwanaume anae jitambua au real man
Ni ukweli ambao weng wao hawatak kabsa kuuelewa, wanaamin kuwa uchi ndyo kumvutia mwanaume.

N kweli wanawavutia wale wakula na kutembea, inasikitsha sana.
 
Ni ukweli ambao weng wao hawatak kabsa kuuelewa, wanaamin kuwa uchi ndyo kumvutia mwanaume.

N kweli wanawavutia wale wakula na kutembea, inasikitsha sana.
Kukaa uchi hakujawai mvutia mwanaume, isipokuwa kuna amasha tamaa mbaya, wanaume wanaweza kuona wanawake ishirini na wote akatamani kulala nao na akipata fursa analala nao wote. Mwanamke mzuri ni yule anaetambua thamani ya maungo yake na mwanaume mwelevu daima hupendezwa na mwanamke wa namna hiyo
 
Umenena vyema
 
Kwa kweli ni mzuri, ILa Kwa Tanzania nzima hapo mleta mada tuache

anafanya shuhuli gani huyu dada?
 
Tuerny ana MASTERS ya Accounting pamoja CPA! MASTERS KASOMEA OXFORD UINGEREZA
Kwahiyo hicho ndo kigezo kilichomtambulisha kuwa yeye ni mzuri? Mbona wa kawaida tu au ulitaka tujue tu kuwa ana masters? Bure kabisa
 
Back
Top Bottom