Tufani la Alaqsa kuziangusha Marekani na Israel na kuzipindua nchi zote za kiarabu. Palestina kuwa taifa kubwa mbele ya Urusi na China

Kuna watu majini ndio yanaongea kwao sasa msichanganye mkafikiri ni wenyewe kumbe ni Al jin Al Islam.
 
Ktk utafiti uliowai kufanywa kila watz 10 bac mmoja wao ana ugonjwa akili simple
 
Sikusema kila taifa litakalomshinda US litakuwa taifa kubwa lakini kwa Palestina ndivyo itakavyokuwa kwa sababu ni eneo tofauti lenye muhuri wa Uislamu.
Okay mkuu, sasa nimekuelewa kumbe yote haya ni kwa sababu ya UDINI, sitofuatilia tena mada zako,nauogopa UDINI kama syphilis
 
Wao wanapanga hivi na Allah anapanga yake. Mara unasikia tetemeko la ardhi limewaondoa Isreal nusu milioni
Huyo allah hana effect yoyote kwani si ndio yule anayepiganiwa kwa ahadi kwamba mkimfia anaenda kuwapatia mabikra 72, uume unaosimama masaa 24 kwa wiki na kwa mwaka na pombe inayotiririka kwenye mito ya ahera.

A mythical arabic god who promises 72 virgins and the erectile penis in paradise for the men who choose to die for him after allegedly slaying the infidels, perpendicular to that, the martyrs are also promised streems of wine in the same paradise...!!!
 
Okay mkuu, sasa nimekuelewa kumbe yote haya ni kwa sababu ya UDINI, sitofuatilia tena mada zako,nauogopa UDINI kama syphilis
Udini ni aina nyengine ya ugonjwa wa akili kwa watanzania.
Kuna watu wakitaka kutoka nje ya mada au kuwakandamiza wengine hupenda kusema kuna udini.Ingawaje udini wanaokusudia wao wenyewe hawawezi kujitenga nao.
Iwapo Benjamin Netanyahu anapigana kwa ajili ya dini na kabila lake.Inakuwaje ni vibaya wengine wakiwaza dini zao katika vita hivyo vya Gaza.
 
Wewe utakuwa ni mzima kweli.Unayekataa mabikra huko peponi na kuchagua changudoa wa hapa duniani..Na kuchagua kunywa gongo na maulevi mengine yanayolewesha halafu ukaangushwa barabarani na wahuni badala ya kinywaji kizuri cha peponi ambacho wala hulewi na kuingiwa na wazimu.
 
Dah!...hii kali aiseee...
 
Onesha hukulelewa stand,hili ndilo lililopo mezani?
 
Allah ndie anaekufanya wewe kuzaliwa na kukuondoa ktk dunia hii. Kama huamini tizama babu zako washaliwa na funza.
 
Allah ndie anaekufanya wewe kuzaliwa na kukuondoa ktk dunia hii. Kama huamini tizama babu zako washaliwa na funza.
Mimi sio mwarabu kumsujudu huyo allah anayetaka apiganiwe eti yeye anatoa mabikra 72 kule ahera na pombe inayotiririka kwenye mito kwa yeyote anayeua kwa jina lake. Bure kabisa.
 
Mohammed aliwaingiza choo cha kike. Waafrika IQ ndogo sana.
 
Umevuta cha Arusha au cha Tarime? Hakuna nchi ya kumtoa Israel pale mpaka nabii Issa anarudi siku ya kiama
 
Umevuta cha Arusha au cha Tarime? Hakuna nchi ya kumtoa Israel pale mpaka nabii Issa anarudi siku ya kiama
Sisi huwa hatuamini maneno ya walevi.Tunakwenda na aya na imani ya kweli.
 
Dunia haiendeshwi kwa dua na imani mfu! Utasubiri sana
 
Dunia haiendeshwi kwa dua na imani mfu! Utasubiri sana
Huwa tunaomba dua na tunaingia kazini kama kule Gaza.
Hakuna msaada kwa dua tupu.Lazima iambatane na juhudi.Ukifanya hivyo daima wewe ndiye utakayekuwa mshindi.
 
TAFUTA HELA MDOGO WANGU
KILA SIKU UZI KUHUSU WAARABU NA WAYAHUDI NA BENKI HAUNA HATA M 15.
 
Huwa tunaomba dua na tunaingia kazini kama kule Gaza.
Hakuna msaada kwa dua tupu.Lazima iambatane na juhudi.Ukifanya hivyo daima wewe ndiye utakayekuwa mshindi.
Kazi ipi mkuu???
Ya kuomba cease fire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…