passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Kila mtu anajua nchi yetu imeingizwa kwenye laana ya damu
Siku hizi mtu kutekwa na kuuawa imekuwa jambo la kawaida sio watu wa kawaida hata watu mashuhuri na wanasiasa.
Viongozi wa dini wapo kimya ukiacha wakatoliki, wengi wanauunga mkono serikali iliyotufikisha hapa.
Tukiacha hii laana yanaweza kutokea makubwa zaidi ya tarehe 29 kwa sababu damu huwa hudai.
Je nini kifanyike?