Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Damu zina tabia ya kuwalevya watu. Sasa wanakoelekea wenyewe watakuja adharani na kukili waziwazi.Tumefika sehemu watu hawana aibu baada ya kuua tumefika papaya sana.
Damu zina tabia ya kuwalevya watu. Sasa wanakoelekea wenyewe watakuja adharani na kukili waziwazi.Tumefika sehemu watu hawana aibu baada ya kuua tumefika papaya sana.
tako jiwe shashi ikasomeHuyu mwenye kisogo kimepigwa nyundo anafurahia mauaji aliyofanya Shetani Samia
View attachment 3595898
Huu ushauri unatakiwa kufanyiwa kazi haraka sanaIli kuiondoa nchi kwenye laana ya damu, hatua ya kwanza na muhimu zaidi ni kufanya toba ya kitaifa na maombi ya pamoja, ambapo viongozi wa kiroho na jamii hukiri makosa, kuomba msamaha kwa Mungu, na kuitakasa ardhi kiroho.
Sambamba na hilo, ni lazima kusimamia haki na maridhiano ya kweli kwa kuwawajibisha waliofanya ukatili, kuwafariji au kuwafidia wahanga, na kuondoa uchungu mioyoni mwao.
Mwisho, nchi inapaswa kubadili mfumo wa maadili kwa kuelimisha jamii kuthamini uhai wa binadamu na kukataa kabisa siasa au kauli za chuki zinazoweza kuchochea umwagaji wa damu mbeleni.
Damu ulipwa kwa damu hakuna namna .Kila mtu anajua nchi yetu imeingizwa kwenye laana ya damu
Siku hizi mtu kutekwa na kuuawa imekuwa jambo la kawaida sio watu wa kawaida hata watu mashuhuri na wanasiasa.
Viongozi wa dini wapo kimya ukiacha wakatoliki, wengi wanauunga mkono serikali iliyotufikisha hapa.
Tukiacha hii laana yanaweza kutokea makubwa zaidi ya tarehe 29 kwa sababu damu huwa hudai.
Je nini kifanyike?
Hata vitabu vya Mungu kama Biblia imesema hivyo.lazima walipe kwa damu ila pia ushauri wa Mshana Jr ni mzuri zaidi.Damu ulipwa kwa damu hakuna namna .